Tanzania ya viwanda

Vivax

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
518
181
Angalizo:

Tukilenga kukoboa mpunga na mahindi sio huko!

Tulenge mitambo mbali mbali ,calculators radios computers heavy plant.

Mahindi mpunga tunakoboa,nguo tunatengeneza,alizeti tunachuja ILA MITAMBO YA VYOOTE TUNAAGIZA.

LENGO LIWE TUSIAGIZE MITAMBO.
TUTENGENEZE MITAMBO NA TUITUMIE.
 

Attachments

  • IMG_20170310_222446.jpg
    IMG_20170310_222446.jpg
    80.6 KB · Views: 35
Back
Top Bottom