Hali ya Tundu Lissu imeendelea kuimarika na sasa anaweza kula mwenyewe


justin mwanshinga

justin mwanshinga

Senior Member
Joined
May 22, 2014
Messages
143
Likes
485
Points
80
Age
28
justin mwanshinga

justin mwanshinga

Senior Member
Joined May 22, 2014
143 485 80
Mungu ni mwema sana
80f7763f261f373f62eb380ef2e82d98.jpg


Hali ya Mbunge , Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA ambaye pia Raisi wa TLS Mheshimiwa Tundu Lissu imeendelea kuimarika...na sasa anaweza kula mwenyewe... Hakika Mungu Mwema sana tuendelee kumwombea Mungu azidi kumpa nguvu zaidi
View attachment 620681
 
Mzizi wa Mbuyu

Mzizi wa Mbuyu

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2009
Messages
5,928
Likes
1,889
Points
280
Mzizi wa Mbuyu

Mzizi wa Mbuyu

JF-Expert Member
Joined May 15, 2009
5,928 1,889 280
Get well soon Tundu!!
Mungu ndie ana uamuzi juu ya Maisha ya mwanadamu!
Waliotaka kukuua Mungu kawaumbua, na kila anaemaini Mungu sasa analitukuza jina lake kwa jinsi alivyokuokoa kutoka kwenye mikono ya watu waovu kama mashetani!
 
Francis12

Francis12

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2016
Messages
7,025
Likes
18,823
Points
280
Francis12

Francis12

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2016
7,025 18,823 280
Hali ya Mbunge , Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA ambaye pia Raisi wa TLS Mheshimiwa Tundu Lissu imeendelea kuimarika...na sasa anaweza kula mwenyewe... Hakika Mungu Mwema sana tuendelee kumwombea Mungu azidi kumpa nguvu zaidi
img_20171030_155936-jpg.620681
 
lukindo

lukindo

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2010
Messages
8,152
Likes
6,554
Points
280
lukindo

lukindo

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2010
8,152 6,554 280
Ana nguvu na upako wa ajabu huyu mtu! Kila aliyeenda kumuona alibadilika na sasa itafikia hata atakayeiona picha yake kama hivi ataijua kweli nayo itamuweka huru!

Cc: ZZK, Nyalandu, VUTA-NKUVUTE etc
 
Freyzem

Freyzem

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Messages
7,235
Likes
17,041
Points
280
Freyzem

Freyzem

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2013
7,235 17,041 280
Daah! Victory ascerta...
Ila kapungua, au ni picha?
Mungu amuimarishe zaidi...
 

Forum statistics

Threads 1,236,126
Members 475,007
Posts 29,247,644