Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Kuna tabia mbaya ya watu /mtu kuingia na simu chooni hasa wanandoa au watu ambao wapo kwenye mahusiano.
Mtu akienda huko chooni anaanza kuchart huku akijisaidia. Utakuta ukimpigia mtu simu anapokea kabisa na anakwambia 'niko chooni'.
Kuingia na simu chooni sijui ni kumkwepa mtu au ni tabia tu ambayo imejengeka kwenye jamii yetu.
Acheni hiyo tabia mtakuja kutumbukiza simu chooni.