Pale ni Rose Garden Mikocheni. Mango garden ipo Mwananyamala Kinondoni.Kijiwe cha waziri wa mambo ya ndani wa zamani
Umenichekesha ,maana cjacheka tangu asubuhiMango garden tulikupenda ila utawala wa magu umekupenda zaidi R. I. P mango
TeteeeeeeMango garden tulikupenda ila utawala wa magu umekupenda zaidi R. I. P mango
Tetete umenichekeshaMango garden tulikupenda ila utawala wa magu umekupenda zaidi R. I. P mango
Anha... wewe jamaa ni noma.Pale ni Rose Garden Mikocheni. Mango garden ipo Mwananyamala Kinondoni.