Habari Great thinker!
Napanda Jukwaani kichwani nikiwa nimeibeba mada hapo juu.
Shule ina miundo mbinu mingi ya kufundishia na kujifunzia. Miongoni mwa miundo mbinu hiyo ni pamoja na Maabara...
Adolf Hitler japo alikuwa ni katili wa kutupa, bado alionyesha huruma na akili ya hali ya juu sana katika kuwaangamiza maadui au wale ambao hakuwahitaji katika jamii.
Kwanza alipowakamata watu...
Juzi Meya wa Mwanza ndugu James Bwire alikamatwa na kuwekwa ndani wakati wa ziara ya Rais huko Mwanza.
Ninalaani tabia ambayo imeanza kushika mizizi ya kukamata viongozi wa serikali za mitaa...
Kuna tatizo kubwa katika utoaji huduma kwa mabasi ya mwendokasi, ni dhahiri kwamba wahitaji wa huduma ni wengi na watoaji wa huduma wamezidiwa labda kwasababu ya monopoly power ya route...
Leo Novemba 1, 2017 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepokea kielelezo cha hati ya ukamataji mali nyumbani kwa Wema Sepetu anayekabiliwa na kesi ya kutumia dawa za kulevya.
Uamuzi huo umetolewa...
'Kamishna Sirro asema mzozo kati ya Polisi na Adam Malima ulisababishwa na kuegesha gari vibaya na alipotakiwa kulipeleka 'yard' alikataa.
Kamanda Sirro ametoa ufafanuzi kuhusu askari aliyefyatua...
Ni zipi mbinu sahihi za kumuandaa mtu kisaikolojia wakati wa kumpa taarifa ya majanga? Nini unatakiwa kuwaza au kufanya kabla ya kumpa mtu taarifa mbaya??
1. Fahamu kwanza kwamba hii sio kazi...
Kwa ufupi
Ewura imesema bei za jumla na rejareja za petroli, dizeli na mafuta ya taa zimepanda.
Dar es Salaam. Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati (Ewura) imetangaza ongezeko la bei...
Poleni na majukumu wana JF.
jaman naomba msaada mwenye kujua tofauti na matumizi na vingine vyovyote vinavyohusu accounts tajwa hapo juu katika crdb bank anifafanulie .nawasilisha kwenu wana...
Nimepita sehemu nyingi Tanzania mjini kwa vijijini,kuna mazingira unakuta una Pesa lakini haiwezi kukusaidia chochote kupata mahitaji muhimu kama malazi ama chakula
Katika changamoto hizi wadada...
WAKILI Maarufu jijini Arusha, Median Mwale na washitakiwa wenzake watatu wamemtaka Naibu Mkurugenzi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Oswald Tibabyekomya atumie mamlaka aliyonayo kuwafunga...
Kufuatia mkanganyiko mkubwa wa matumizi ya maneno "Mwizi" Fisadi" Mchochezi" ni vema taasisi ya kiswahili hapa nchini iingilie kati na kubainisha ukweli halisi wa maana za haya maneno.
Hii...
RC Makonda leo amekabidhiwa mabasi 10 chakavu ya vyombo vya ulinzi na kuyapeleka kwenye karakana ya kampuni ya Dar Coach iliyopo Mkuranga kwa ajili kufufuliwa upya na kuwa ya kisasa.Yanategea...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara limewakamata raia watano kutoka China wanaomiliki mgodi wa Zem Tanzania Limeted katika kijiji cha Nyasirori wilayani Butiama, wakitorosha mchanga wenye madini...
Habarini wakuu,
Nina mgonjwa wa saratani ya titi. Kwa kutambua kuwa India kuna hospitali nyingi, ninaomba kufahamishwa hospitali nzuri kwa matibabu ya saratani kwa kuzingatia wataalam, vifaa tiba...
Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) nchini imewashauri wananchi wa mikoa ya kanda ya Pwani kuchukua tahadhari stahiki ya kutokana na vipindi vya mvua kubwa inayotarajiwa kunyesha katika maeneo yao kwa...
Wakazi wa kijiji cha Igurusi kata ya Igurusi tarafa ya Ilongo wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya wamepigwa butwaa baada ya mbuzi aliyepo katika kijiji hicho kuzaa mtoto anayefanana na binadamu kama...
poleni na majukumu!
Nimetafuta huduma hii karibu siku nzima kampuni inayotuwa huduma hii.Mimi ni mjasiriamali wa mtandaoni nataka kutoa huduma kwa wateja wangu lakini kuwepo makato fulani kila...