Habari,
Ningependa kufahamishwa TRA kuna shida gani, maana watu tumelipia pesa zetu kwa ajili ya kurenew leseni, lakini kila ukienda kufuatilia unaambiwa njoo baada ya wiki mbili. Sasa...
Mkuu wa wilaya ya Kilwa,mkoani Lindi,Christopher Ngubiagai,amewaagiza watendaji pamoja na wenyekiti wa vijiji vyote vya wilaya hiyo kuhakikisha wanawakataza wananchi katika maeneo yao kuacha mara...
Tokea kada wa CCM aanze kurusha mipasho kwa viongozi wa upinzani amekuwa akipuuzwa na kutokujibiwa kabisa. Wakati Jerry Muro akiitishiwa press conference na CCM arushe tuhuma zisizo na mashiko kwa...
Ni maneno ya jamaa flani shabiki wa chama kimoja cha siasa kinachoshiriki katika chaguzi za marudio za udiwani bila kumtaja kama ni wa chama tawala au upinzani.
Nilikutana nae akiwa kavalia sare...
Dar es Salaam. Baraza la Habari Tanzania (MCT) limesema litawachukulia hatua ikiwamo kuwafikisha mahakamani watu watakaowazuia na kuwanyanyasa waandishi wa habari wakiwa kwenye majukumu yao...
Wana Jamvi leo katka kupita thread mbalimbali umu nikakutana na thread iliyoongelea utumishi uliotukuka wa mej gen Chacha Marwa, ni thread ya zaman kidogo but ilikuwa hot topic ishu ikiwa ni...
ALBADIL!! ALBADIL!! ALBADIL!!!
Ndg,zangu Watanzania ikiwa haya ndiyo madhara ya kusoma albadil, basi naomba siku nyingine isisomwe,maana watu wanaenenda,kutenda na kufikiri nje ya "ubinadamu...
Urusi imetia saini mkataba wa kujenga viwanda viwili vya nishati ya nyuklia nchini Nigeria huku taifa hilo lenye uchumi mkubwa barani Afrika likiweka mikakati ya kumaliza matatizo yake ya umeme...
Watu 34 wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi huku matukio 67 ya ukatili huo yakiripotiwa kwa kipindi cha miaka 11 katika maeneo...
Habari yenu wanajukwa wa JF kuna swali nimekuwa nikijiuliza lakini sikuweza kupata majibu. Basi leo naomba niwashirikishe ili niweze kupata majibu pia na wengine ambao walikuwa hawajui kama mimi...
Nimepita sehemu ya Jangwani juzi na hali ya pale inasikitisha.
Kwa sasa mapito ya mto yamebadilika kabisa, na mto Msimbazi haukidhi overland flow ya storm water-maji ya mvua.
Pale kumewekezwa...
Aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini CCM, aliyejiuzulu Lazaro Nyalandu amefunguka na kukana kuwa katika Group la mtandao wa Kijamii WhatsApp na kusema kuwa hajawai kuwa kwenye Group hilo na...
Habari za muda huu,
Mtanisamee kwa hili maana hii nyuzi ingebidi iwe kwenye jukwaa la michezo lakini nikaona bora ni ilete huku maana hii nimeiona hata nje ya michezo nisiwachoshe ngoja niende...
Bomoabomoa inayoendelea kwa wakazi waishio pembezoni mwa Barabara ya Morogoro imeteketeza fedha zinazokadiriwa kufikia Sh60 bilioni na zaidi, uchunguzi wa Mwananchi umebaini.
Operesheni hiyo...
Wandugu nliyoyashuhudia sio mazur kizee cha miaka 60 amempachika mwanafunzi mimba,
Tens Mtoto wa kidato cha pili,amefikishwa polisi na ushahidi upo,siku tano hazijaisha yuko mtaani anapeta,
Kweli...
Takribani 80% huwa wanaacha kuendelea na mipango yao waliyojiwekea baada tu ya miezi mitatu ya kwanza mwaka unapoanza.Hii imewafanya watu wengi sana kujikuta wakiwa na hamasa na shauku kubwa mwaka...
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga limewakamata na kuwashikilia watu 29 kwa tuhuma za kujihusisha na makosa mbalimbali ya uhalifu wa kutumia silaha na vifaa bandia vya kuvunjia milango, 7 kati yao...