pilato93
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 7,940
- 9,691
Habari za muda huu,
Mtanisamee kwa hili maana hii nyuzi ingebidi iwe kwenye jukwaa la michezo lakini nikaona bora ni ilete huku maana hii nimeiona hata nje ya michezo nisiwachoshe ngoja niende moja kwa moja kwenye hii mada inayonitatiza.
Hivi hili swala kwa wale wenzetu mliobahatika kuishi Ulaya maana ndio ninapoona hii tabia imeshamiri sijui kama ni tamaduni ya nchi gani wala ilianzia wapi kwa mliofika huko huu mtindo wa kupongezana wa kushikwa makalio au kutiwa kidole cha makalio ni kwa Ulaya ni tamaduni yao au maana hata sielewi mfano kama match ya juzi Roma yule Pretori alivyompiga dole mwenzie.