monjozee
Senior Member
- Sep 19, 2016
- 115
- 297
ALBADIL!! ALBADIL!! ALBADIL!!!
Ndg,zangu Watanzania ikiwa haya ndiyo madhara ya kusoma albadil, basi naomba siku nyingine isisomwe,maana watu wanaenenda,kutenda na kufikiri nje ya "ubinadamu wao".
Hivi Chama cha Mapinduzi,huwa mnadhani kwamba Watanzania wote uwezo na viwango vyao vya kufikiri ni vya aina moja?? Hapa ndipo mnakosea sana.
Hebu fikiria!!!
Albadil inamtuma Katibu wa Itikadi na Uenezi (CCM) kwamba nena; naye ananena anasema "Lazaro Nyalandu ameamua kutumia haki yake ya kikatiba,ambayo inatoa uhuru kwa mtu yeyote kujiunga na chama cha siasa anachokipenda yeye". Wafuasi wa CCM wanafuata nyuma kwa makofi, kwaaah!!kwaaah!!kwaaah!!!
Albadil hiyo hiyo inaituma ofisi ya spika na kuwaambia nena, nao wananena wakisema "Ofisi ya Spika haijapokea barua ya Lazaro Nyalandu juu ya kujiuzuru kwake kutoka kwenye kiti cha ubunge".Wakati Nyalandu mwenyewe ametuambia kuwa Asubuhi ya siku husika amemwandia barua Spika wa Bunge.
Kwamba barua ya Nyalandu iliyoandikwa siku hiyo hiyo na kutumwa kwa Spika haijafika,lakini barua ya CCM iliyoandikwa baada ya siku mbili imeshafika Ofisini!! Hapa waambieni Kindergartens ndiyo wa Kolomije.
Hapa CCM walitaka kutuonesha kuwa njiwa huyu walimshikilia wao na pia wao ndiyo waliamua kumuachia kutoka mikononi mwao ili aende zake mbali licha ya uzuri wa rangi zake.This is a fake trick!! Hapa Nyalandu alishawawahi,wenye akili walilifahamu hilo, hivyo kuisuburi barua ya chama ni uchochoro tu wa kutokea kama zilivyo chochoro zingine.
Albadil ile ile iliyomtumia Katibu wa Itikadi inaamua tena kukitumia chama na kukiamuru kinene, nacho chama kinanena na kusema "Lazaro Nyalandu chama kilikuwa kimeanza kumchukulia hatua za kiudhibiti na kinidhamu juu ya vitendo na kauli zake".Wana-CCM makofi tafadhari,kwaah!! Kwaah!! Kwahhh... Lakini wakati huo huo Nyalandu hajawahi kupokea hata barua moja ya kutoka ndani ya chama ya kumuonya juu ya nidhamu yake ndani kwa chama.Wala kikao cha mwisho kilichoinajisi Ikulu,hatukusikia tamko la kumfukuza uachama ndg.Nyalandu.
Ni Albadil hiyo hiyo!!
Lakini Albadil hiyo hiyo haikuchoka,ikaamua kumfuata Mwenyekiti wa chama Taifa,nayo ikamwambia nena, naye akanena akisema; "wanaokimbilia CHADEMA ni wezi na majizi" wana-CCM makofi tena kwa boss,kwaah!!kwaah!!kwaaahh!!
Hapa nakumbuka hotuba moja ya Mwl.Nyerere aliyosema "nadhani wale watu wote (wanafunzi wa Yesu) walikuwa ni malofa watupu wale.Akimaanisha kuwa kila jambo walikuwa hawaelewi mpaka wafafanuliwe.
Nami hapa naona waliokuwa wanamsikiliza rais Magufuli walikuwa ni malofa watupu wale.Maana walipaswa kumuuliza maswali makubwa mawili tu;
1. Hivi bwana Mwenyekiti, kwani chama chako cha Mapinduzi sicho kilichompitisha kuwa mgombea wa jimbo la Singida kaskazini?? Kama ndicho kwanini chama kilipitisha "jitu ambalo ni jizi?".Je unamaanisha chama kinayaunga mkono majizi?
Lakini pia Mwenyekiti, wewe wakati unazunguka kuomba kura nchi nzima,mbona ulimnadi huyo Nyalandu!! Je,kwanini ulimnadi mtu mwizi??
2. Kwanini umetuambia mtu huyu ni "mwizi/jizi" baada ya kutangaza kukihama chama chako? Mbona hukulisema hili hadharani kabla hajahama?
Hiyo ni kazi ya Albadil!!Yaani taasisi moja wanatoka watu zaidi ya wawili kila mmoja anasema lake.
Shame!!
Nadhani albadil hii ikiendelea kusomwa (kwa mara ya pili),hata yule binti mwenye hips (sijui ni wa nani) niliyemuona jana kwenye mitandao anaweza kujikuta ametuvalia [HASHTAG]#NightDress[/HASHTAG] ama [HASHTAG]#Tight[/HASHTAG] yeye akapeta na kusubiri salute kutoka kwa wapambe wake!!
Na ukimuuliza "aisee mbona umevaa hivyo....unatutia aibu!!" Tegemea kupata jibu hili;
"VITA YA MADAWA YA KULEVYA HAIJAWAHI KUMUACHA MTU SALAMA".
Albadil!! Albadil!! Albadil!!!