Traditional brain surgery in Africa: Waganga wamesomea wapi mpaka wanafanya operation ya kichwa?

Hata kutahiri kienyeji hawatumiagi ganzi, maumivu yake unaweza kuhisi unakata roho
 
Zamani maisha yalikua tofauti na sasa.....
Watu waliishi kiasili sana tangia vyakula na mifumo mzima wa maisha..... kulingana na wengi wa changamoto enzi hizo iliwalazimu watu kuwa wabunifu sana na kutumia akili nyingi muda wote kukabiliana na mambo mbalimbali. Baadhi ya magonjwa sumbufu ya kipindi hiki hayakusumbua enzi hizo mf cancer, sukari, magonjwa ya zinaa, shinikizo la damu, ajali ajali zisizoisha......
Tofauti na sasa mfumo wa maisha ni tofauti na unaua kwa kiasi kikubwa ubunifu na utumiaji wa ubongo kwa kiasi kikubwa.... mf mtoto anaangalia Disney land mpaka std 7, anaenda boarding O level mpaka form 6... kamaliza kaenda chuo kutwa ni series, partying, library na lecture hall akiwaza kuolewa au kuoa, kupata kazi, kujenga nyumba na kuwa na watoto.. huo ubongo ubunifu unatoka wapi?
 
Back
Top Bottom