kinamba
Member
- Oct 24, 2016
- 70
- 60
Habari,
Ningependa kufahamishwa TRA kuna shida gani, maana watu tumelipia pesa zetu kwa ajili ya kurenew leseni, lakini kila ukienda kufuatilia unaambiwa njoo baada ya wiki mbili. Sasa nishamaliza miezi miwili hapa. Tuambieni kama hizo leseni tutapata au la.
Maana mnatuambia material hakuna sasa najiuliza hizo Hela tunazolipia zinafanya kazi gani?
Personally mmenikera sana!!!
Ni hayo tu!!!