Vyeo Vya Kijeshi katika makundi ya Waasi...

PRINCEd

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2015
Posts
862
Reaction score
625
Wana Jamvi leo katka kupita thread mbalimbali umu nikakutana na thread iliyoongelea utumishi uliotukuka wa mej gen Chacha Marwa, ni thread ya zaman kidogo but ilikuwa hot topic ishu ikiwa ni utaratibu uliotumika zamani kuwatunuku wakuu wa majeshi wa enzi.....

Kilichonipa dukuduku mpk kuanzisha uzi ni pale mchangiaji mmoja aliposema jeshi letu sio rebel (waasi) kupandsha vyeo bila kujal uweredi

Je, hivi vyeo vya waasi, utaskia luten Joseph Kony yule wa LRA, kanali sijui nan, mara kapten, mara major Fadday Kolly yule wa West Side Boys, Wakina museveni, Laulent Kabila, Jonas Savimbi, Charles Taylor wana vyeo vya kijeshi huku wakiwa waasi enzi zao za uasi

Swali langu.....

Nani uwapa vyeo awa makamanda wa waasi?
Na kama ni wao ujipachika kwanini vyeo hivi uendlea kutambulika kimataifa na uendlea kutumika kama identity zao hata wakiacha Uasi.....?

Naomba Kuwasilishaa......
 
Swali lako la kwanza ,nadhani huwa kuna kiongozi wao ambaye hasa ndie huwa sababu ya kuanza kwa uasi huo.
kuna mtaalam mmoja wa siasa za maziwa makuu anaitwa jMali ambaye pia inasemekana ni msemaji wa kikundi cha kihutu nchini Kongo,FDRL aliwahi kusema kwamba hawa jamaa hupeana vyeo vikubwa ili kutuliza uasi jeshini,mfano Rwanda ni nchi ndogo lkn ina vyeo vikubwa vya kijeshi vingi ukilinganisha na sisi,hiyo ni njia Kagame anayotumia kuwapoza jamaa zake aliokuwa nao msituni ili wasimbadilikie ghafla
Na swali lako la mwisho nadhani vyeo vya kijeshi huwa havifi kama uprofesa,ndio maana mpaka leo mabrigedia walistaafu zamani lkn ukimuuliza unaitwa nani utasikia anakwambia "brigedia Hemed simba wa vita"
 
Sorry kwanza point of correction yule aliitwa Brigadier Faddy Kolly yule jamaa wa West Side Boys.....lakin mkuu inawezekana mtu wa cheo kikubwa akaasi nataman kujua awa akina Faddy uwa wanapata wapi muda wa kufundsha, ku commision vyeo wakati wako bize na vita muda wote
 
Aisee mmeanza kuwaza mbali. Hadi majina ya vyeo vya kijeshi mnataka kuvifahamu?
 
Swali lako la kwanza ,nadhani huwa kuna kiongozi wao ambaye hasa ndie huwa sababu ya kuanza kwa uasi huo.
kuna mtaalam mmoja wa siasa za maziwa makuu anaitwa jMali ambaye pia inasemekana ni msemaji wa kikundi cha kihutu nchini Kongo,FDRL aliwahi kusema kwamba hawa jamaa hupeana vyeo vikubwa ili kutuliza uasi jeshini,mfano Rwanda ni nchi ndogo lkn ina vyeo vikubwa vya kijeshi vingi ukilinganisha na sisi,hiyo ni njia Kagame anayotumia kuwapoza jamaa zake aliokuwa nao msituni ili wasimbadilikie ghafla
Na swali lako la mwisho nadhani vyeo vya kijeshi huwa havifi kama uprofesa,ndio maana mpaka leo mabrigedia walistaafu zamani lkn ukimuuliza unaitwa nani utasikia anakwambia "brigedia Hemed simba wa vita"
kwani umewahi sikia mtu anaitwa professor msataafu?nitajie mmoja.
 
Kama ilivyo kwa daktari na kada nyingine wanavyobaki na tittle zao hata waasi wanaendelea na vyeo walivyotoka navyo jeshini kala ya kuasi! Jeshi la wokovu tu ndilo halina waasi!
 
Back
Top Bottom