Mwanariadha Ismail Juma amefariki dunia baada ya kupata ajali ya gari leo jioni wilayani Karatu.
Baba Mzazi wa marehemu mzee Juma amethibitisha kutokea kwa msiba huo.
Marehemu Ismail Juma hivi...
Waathirika hao walitoa kauli hiyo baada ya Rais kutaka zaidi ya nyumba 3,000 jijini Mwanza zisibomolewe kutokana na ushiriki wao katika Uchaguzi Mkuu uliopita.
Dar es Salaam. Waathirika wa...
Kwa habari nilizozipata kutoka Iringa ni kwamba Chifu wa Wahehe, Abdul Adam Sapi Mkwawa amefariki dunia jioni ya Jana.
Poleni sana wahehe, poleni sana wanakalenga na Iringa kwa ujumla.
Pia soma...
Wengine wanasema ni barua/Tangazo feki inayohusu kusitishwa kwa ajira za wizara ya afya zilizo kuwa zimetangazwa tarehe 31/10/2017.Kwa madai ya kuwa barua ina tarehe mbili tofauti,lakini pia haina...
Nimeshangazwa na kitendo cha TV hiyo asubuhi ya leo iliyopo katikati ya jiji kusoma magazeti 3 tu, Habari Leo, Uhuru na Daily News.
Hivi inawezekana kwa location walipo pale mtaa wa Jamuhuri/...
Habari JF,
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha IFM, niliibiwa vyeti vyangu vya form six, pamoja na Laptop yangu katika begi, nilikuwa naulizia kuwa naweza kupata vyeti vingine kutoka NECTA?? kwa...
Afisa Magereza Bwana Neuro Mbwilo amejishindia dau kubwa kuwahi kutolewa na Tatu Mzuka la shilingi milioni 110 kupitia Mzuka jackpot iliyoonyeshwa kupitia vituo mbalimbali vya runinga nchi nzima...
Mheshimiwa Kigwangala, Ukiwa waziri wa maliasili na utalii, binafisi napenda kutumia nafasi hii kukupongeza kwa kuteuliwa kwako kuwa waziri wa wizara hii nyeti na yenye maslahi makubwa kwa...
Kuna pombe ambayo ni mchanganyiko wa nyoka, jongoo na mvinyo uliotengenezwa tokana na nafaka kama mchele, mahindi, mtama nk.Angalia picha zake hapa chini.Kitu kimeenda shule!!!
TATO is happy with Minister to agree on TALA categorizing
BUT TATO does not want to put its Membership in to Categories so that many tour tourism players can join
What TATO is advocating, can...
Naam, nasema tena huyu jamaa ni mtu social sijapata kuona, ukitazama kuanzia nyumba anayoishi,Gari anayoendesha,Nguo anazovaa watu anaozungukwa nao, sidhan kama kuna bilionea mwingine hapa duniani...
Jamani kuna taarifa leo kwenye gazeti la MAGAZETI leo kwamba Mwenyekiti wa Uvccm wilaya ya Arusha,SAITOTI ZELOTHE ambaye pia ni mtoto wa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Rukwa,ZELOTHE STEPHEN...
Alivamia shule ya msingi na kumkumbatia mwalimu kama anataka kufanya naye mapenzi, walimu walipiga kelele ila hakuna mwananchi aliyekuja kuwaokoa, ila walimpiga fimbo na kumfungia chooni, huko...
Wakuu naomba kuuliza je nikweli baadhi ya watumishi wa umma watapandishwa madaraja mwezi huu. Nauliza hivi kwakuwa wapi wanaosema Mhe.Rais atapandisha madaraja mwezi huu kwa watumishi elfu 59 na...
Kila mtu ana uwezo mkubwa wa kufikiri na akili nyingi kabla hajaongea chochote.Na thamani ya mtu itapanda au kupungua pale atakapoongea au kufanya kitu.
Ili uweze kufanikiwa katika kitu chochote...
Hivi falsafa juu ya matumizi ya bajeti ambayo ipo ndani ya uwezo wako ikoje? Hili ni swali la muhimu sana ambalo kila mmoja wetu anatakiwa kujiuliza kataka maisha yake ya kila siku. Nasema hivi...
Baada ya Serikali kuzitaka nyumba za ibada Kimara zilizo katika hifadhi ya barabara kubomoa wenyewe kabla hawajabomolewa na serikali.
Serikali imesema endapo wasipobomoa wenyewe Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.