Ni yepi majukumu Clearance Agents

Ni yepi majukumu Clearance Agents

maforce

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2017
Posts
681
Reaction score
652
Habari yenu wanajukwa wa JF kuna swali nimekuwa nikijiuliza lakini sikuweza kupata majibu. Basi leo naomba niwashirikishe ili niweze kupata majibu pia na wengine ambao walikuwa hawajui kama mimi nao wapate faida. Swali langu ni nini kazi/majukumu ya clearance agents wa hapa Tanzania? natanguliza shukrani zangu kwenu wanajamvi
 
Alafu wanakula hela nyingi,ambazo hata mwenye mzigo angeweza kuzifanya!
 
Back
Top Bottom