hawa watu wanaroho mbaya sana japo sio wote ,utakuta mtu amekuajili anakulipa mshara vizuri tu lakin ukinunua kitu lazima nafsi imuume uvaa vizuri napo shinda anahis unamuibia hakumbuki hata...
Huko Karagwe Kijiji cha Ommageyo kijana mmoja aitwaye Jackob Anacret amemuua jirani yake anayeitwa Beitwa kwa kumchoma kisu!! Inasemekana ugomvi ulianza wakati marehemu alipohisiwa kutaka...
Vijana wetu wanaumia, wanapata vilema kwa ajili ya overload ya bodaboda na nyie mnaona. Hivi kwa nini adhabu kali ni kwa magari tu!!
Viongozi na yoyote anayehusika chondechonde tupia jicho swala...
Mwanasheria nguli na Wakili wa Mahakama kuu nchini Uingereza Giovanni Di Stefano ameweka kusudio la kufungua shauri kwenye mahakama ya haki ya umoja wa Ulaya (The Court of Justice of the European...
Ni ajabu na kweli kuwa katika barabara hii polisi wamejizatiti na vi tochi kudhibiti mwendo na eti kuwa sasa hivi wako katika wiki ya nenda kwa usalama kukagua magari na hata kuthubutu kutoza...
Mmevamiwa na majambazi mke wako akabakwa na akapata mimba
We mwanamke ungeitoa..?
We mwànaume ungemshauri mkeo akaitoe?
Aisee Mie ningemwambia akatoe Mungu anisamehe kwa kweli mambo mengine...
Kwanini Mwanaume akituhumiwa au akishtukiwa mbele ya ' kadamnasi ' kwamba amechafua hali ya hewa ( Kajamba ) huwa mwepesi kukubali na kukiri ' Kosa ' tofauti na Mwanamke ambaye hata kama mpo nae...
Sinema ilianzia kwa Kenya kuzuia Magari ya mizigo ya Tanzania kuingia Kwao kwenda kuuza Mahindi na Tanzania nayo ikajibu mapigo kwa kuwapandishia ' tozo ' bidhaa zao ngoma ikawa draw ( Waswahili...
Ni watu nikiowafahamu fika,walituburudisha wengi na wengine tukifanya nao kazi.Miaka kadhaa baada ya kuondoka kwao hatuwakumbuki tena ,nawataja Kwa uchache.John Maganga, Patrick Kuambiana,Adam...
Habarini wadau,
Kumekuwa na msg nyingi kutoka namba hii 0626338309 na ametoa namba yake ya mawasliano 0656971247 akitangaza habari za uganga lakini ukiipiga haipatikani lakini sms zinaenda,nauliza...
Chomboanga kiitwacho International Space Station (ISS), kwa Kiswahili, Kituo cha Kimataia cha Anga kitapita juu ya anga zetu za Tanzania kwa kumulika kama nyota na kupita pole pole kutokea upeo wa...
Vichwa vya habari wiki hii ni kujiuzulu katika nafasi yake ya ubunge wa Singida Kaskazini kwa tiketi ya chama tawala CCM, Na aliyewahi kuwa Waziri wa Maliasili wa taifa hilo Lazaro Nyalandu kwa...
Hawa watesi wetu wako katika hatua za mwisho, kama wanajiamini kwa nini wanawawekea mizengwe wagombea wetu ili wao wapite bila kupingwa? Kama wanajiamini kwanini wanatumia risasi badala ya kujibu...
Mkuu wa Polisi wa wilaya ya Tunduru mkoani ruvuma, mrakibu mwandamizi wa jeshi la polisi, Bw. Nico Mwakasanga ameamuru kukamatwa kwa askari polisi mmoja aliyejulikana kwa jina la Bw. Mbunda na...
Wadau Habarini Niwatakie Sabato Njema Yenye Baraka Tele.
Kuna Taarifa Nimezisikia Lakini Sijapata Uthibitisho Hasa Ule Wa Kiutafiti. Hata Hivyo Nikijaliwa Naweza Fanya Utafiti Siku Za Usoni Ili...