Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Polisi Kanda Maalum ya DSM, bado haijafanikiwa kuwakamata FFU waliohusika kuwapiga raia Ukonga, kwa kuwa waliotajwa hawajapatikana. Wameandika nipashe. Shughuli nzito kuwanasa Polisi wadaiwa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Mpaka sasa inasomeka Dollar 1 kwa tsh 2548 katika sokola fedha la mitandaoni wakati soko halisi ktk maduka ya fedha na benki mbalimbali ni 2240 Nadhani lazima kuna hujuma mahali katika kuweka...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ninahitaji vyumba vitatu vya kupanga Masasi mjini nyumba iwe na umeme na maji. Chumba kimoja kikiwa maater itakuwa bora zaid
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Watanzania tunaongezeka lakini ardhi haiongezeki, hivyo mipango mizuri ya matumizi ya ardhi inahitajika. Kwenye mipango yako ya matumizi ya ardhi makazi, misitu, kilimo, ufugaji, uchimbaji madini...
1 Reactions
1 Replies
720 Views
Hamjamboni Waheshimiwa Nimewahi Hudhuria Misiba Kwa Ndugu Zetu Wameru Pande Za Huko Kilala Ili Kutoa Pole Kama Ilivyo Desturi Zetu Watanzania. Pamoja Na Lengo Hill Nimeweza Jifunza Baadhi Ya...
1 Reactions
0 Replies
741 Views
Habarini wakuu, langu moja tu naomba kama kuna mwenye ujuzi wa utaratibu gani unaofuatwa kisheria wakati wa kununua kiwanja/nyumba hasa ktk maeneo tata kama dar es salaam, na JE ni sahihi kuishia...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Polisi wilayani Babati mkoani Manyara inamshikilia askari wa jeshi hilo Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), Cosmas James akituhumiwa kumuua mzazi mwenzake, Regina Daniel (23) kwa kumpiga risasi nne...
6 Reactions
246 Replies
27K Views
Hawa wamekufa Kwa ajali Uzi wa Mshana Jr Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho ====== Uzi wa Mshana Jr
5 Reactions
42 Replies
8K Views
Salute. Natumai nyote mu wazima na mwaendelea vizuri vema na ujenzi wa taifa. Ndugu zangu mim sina misingi ya chama chochote,naweza kujiita silent activist (mwanaharakati wa kimyakimya)...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Wadau, Waziri Wa Ujenzi Mhesh Makame Mbarawa Akiwa Wilayani Chato Leo Ameweka Jiwe La Msingi Katika Ujenzi Wa Kiwanja Cha Ndege Chato. Mambo Muhimu Kwa Uchache Katika Ujenzi Huo Ni Kama...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
kama mada inavyojieleza, kwa wale wenyeji wa Kigoma naomba mnielekeze lilipo kanisa la KKKT, kila nayemuuliza anasema hajui mahali lilipo, mie mgeni hapa na nipo maeneo ya katubuka.
0 Reactions
17 Replies
4K Views
(Logics) Basi tukaona pale tukaenda huko ambako kuna tengenezwa pombe, tulifika pale kiwandani tukakaa kata kumi na debe ishirini za mbege. Ama kweli kiwanda kimeshamiri. Kucheki kulia na kushoto...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari ya ijumaa wakuu. Leo nimepata wasaa wa kutembelea taasisi moja ya elimu ya juu hapa Daslam, nimemtembelea class mate wangu mmoja alieamua kuachana na kazi za utendaji na kua mwanataaluma...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimempeleka mtoto Agakhan Hospital kutibiwa , Bima (NHIF) imekataliwa kwamba hawajalipwa fedha zao kwa muda sasa. Uchumi unakuwa kwa kasi. UFAFANUZI WA NHIF:
12 Reactions
193 Replies
26K Views
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi Amesema hayo jana katika ziara ya kukagua maandalizi ya ujenzi huo eneo la Mererani ambao unalenga kudhibiti utoroshwaji wa madini...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
hawa watu wanaroho mbaya sana japo sio wote ,utakuta mtu amekuajili anakulipa mshara vizuri tu lakin ukinunua kitu lazima nafsi imuume uvaa vizuri napo shinda anahis unamuibia hakumbuki hata...
3 Reactions
8 Replies
974 Views
1 Reactions
1 Replies
870 Views
Huko Karagwe Kijiji cha Ommageyo kijana mmoja aitwaye Jackob Anacret amemuua jirani yake anayeitwa Beitwa kwa kumchoma kisu!! Inasemekana ugomvi ulianza wakati marehemu alipohisiwa kutaka...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Vijana wetu wanaumia, wanapata vilema kwa ajili ya overload ya bodaboda na nyie mnaona. Hivi kwa nini adhabu kali ni kwa magari tu!! Viongozi na yoyote anayehusika chondechonde tupia jicho swala...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimeumia sana eti vifaranga wanateketeza kwa moto lakini kwa sheria ile ile ya magonjwa ya kuambukiza ng'ombe wanataifishwa na kupiga mnada siamini.
0 Reactions
2 Replies
835 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…