Msaada wa kufungua mita ya Luku

Msaada wa kufungua mita ya Luku

Job K

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
9,314
Reaction score
7,169
Wadau naandika kutokea hapa Mbagala kwa Mtogole jirani kabisa na Hajaat FaizaFoxy! Wandugu kuna vishoka kutoka TANESCO jana walifika kwangu na kuwarubuni watoto na kuingia kwenye mita sasa wakachonoa na kuifunga! Tangu jana hatuna umeme ingawa kwenye mita unasoma. Sasa kama kuna fundi anayejua huwa wanafunga kwa kutumia namba gani na namna ya kuifungua namwomba atirirke hapa aweke namba hizo! Au kwa PM!

NATANGULIZA SHUKRANI VIONGOZI!
 
Piga simu Tanesco mkuu. Acha kabisa michezo na Mita za Luku unaweza kushtakiwa kwa kuhujumu shirika la Tanesco na wizi wa umeme. Matokeo yake familia ikaishi bila umeme kwa muda mrefu.
 
Lol

Hahaha
nakushauri usifanye chochote, nenda karipoti TANESCO.
Unakaa kwnye nyumba ambayo hata nyundo hamna:! [emoji373] screwdrivers:! Kama ni mm mda mreefu umeme unawaka bila bill
 
Back
Top Bottom