wakusoma
JF-Expert Member
- Feb 25, 2008
- 1,085
- 1,059
Wizi wa majambazo wanaopora hela umeshamiri Sana Dar es salaa.Vibanda vya mpesa/tigo pesa wanaporwa kila siku.
Leo katika hali isiyo ya kawaida Dada mmoja ampigwa risasi na kuporwa hela zake saa 8 mchana maeneo ya Tabata bima.
Mdada tunamjua ni Ana kiduka chake tu cha mtaani na inasemekana alikuwa umetoka kuchukua hela segerea sheli(ATM)kiasi kidogo akanunue mchele wa kuuza dukani.dizaidi walikuwa wanamfuatilia.
Wezi wenye bastola na wakitumia boda boda kwa dar ishakuwa kero sasa..twafaaa.