Turudi kwenye technical school ili tujenge viwanda

ikigijo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
1,866
Reaction score
1,950
Habari wakuu,
kama mada inavyojieleza,zamani Tanzania tulifana sana ktk nguvu kazi,naenda mbali zaidi...sasa Ulaya na marekani Huko viwandani,vya magari,meli,machine kubwa na ndogo,Plant za ukubwa mbali mbali kazi nyingi zinafanywa na technician level....

hii ndo kada ya kazi,ndo watendaji hawa,Siri kubwa ya Ujerumani kufanikiwa ni kuwa na hawa watu kwa wingi,sisi tumejaza ma Engineer,kutwa kushika kalamu na spana za hapa na pale na kuagiza,Ukienda viwanda vingi vya wazungu huta kutu Utitiri wa Degree holder hasa kwenye technical field,utawakuta wache tuu kwa ajili ya consultant na design tuu,ila ambavyo sehemu kuba huwa ni initial stage,na kwenye commisioning,kwenye operation wapo ila ni wachache sana,kada nyingi kam electrical,mechanical,Process,lab,wanaofanya kazi kubwa ya kuendesha mitambo na matengenezo ni technician level...ukitaka kuthibitisha hili nenda viwanda vya wazungu hapa bongo....hii imetufanya kila kada tunataka kuweka msomi wa kiwango cha juu zaidi ili ufanisi uwe mkubwa....kitu ambacho ni nadra sana...unaweza kuta tunataka hata kumuweka Prof,Au Dr,awe Mkurugenzi wa kiwanda na Plant manager tukiwa na Imani ndo mwenye akili wakati sio halisi...cha Msingi ni uzoefu wa eneo husika,Hebu Watanzania tujifunze kwa makampuni/viwanda vya wazungu vilivyo.maanake ndo benchmark yetu...ukikuta MD,AU PLANT MANAGER ANA Phd or Prof,njoo hapa nikupe laki 2.

Private company ndo wanafanya vizuri lakini hatujifunzi toka kwao....
na Hii inapelekea wasomi hao Eng,Dr,wakiajiriwa na kampuni za Wazungu huishia kufanya kazi za technician levvel na kuanza kullalamika kuwa haeshimiwi...
sisemi kuwa Wasomi wa degree hawahitajiki,la hashaa....ila tumewapa kipaumbele sana na kufanya zile kazi ambazo zinachukua watu wengi skilled labour kufanywa na Degree holder....

Ripoti ya world bank iko wazi sana,unaweza shangaa jamaa wanaota au....but ndo ukweli huo...tuwekeze kwenye technician level...haswa kwenye kujenga viwanda....Product giving organisation....na sio kujiita Eng.laki...Dr.luo....Adv.kai....wenzetu ni wasomi lakini hawana hizi tabia angalia OBAMA ni Phd holder lakini hajiiti Dr,Angel makel pia,wapo wengi tuuu tufanye kazi na mkazo zaidi ni kwenye mafunzo ya Muda mfupi ambayo yanajenga uwezo(capacity building).
 
Baelezeee,chambua kama kalanga chambua..
 
ni vizuri ila.....
waafrica wengi tukiacha chuki,ubinafsi na kupenda sifa tutafanikiwa sana...
NN: maskini anataka kuonekana tajiri na sisi kutafta utajiri
 
Mtoa mada jambo usilolijua kaa kimya hapa Bongo ni usanii tu Mwalimu wa technical school hata kuziba pancha au kutengeneza mshikio wa kibatari hawezi sembuse mwanafunzi
 
Labda shule zenu za Technical za miaka hii. Nimesoma Ifunda Tech. na Arusha Tech from 1983 to 1990. Tulikuwa na very qualified Teachers.Mtoa mada kwa kiasi fulani yuko sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida yetu kuu sisi wa Tz ni wanasiasa wanaotuongoza kujiona kwamba wao ndio wanajua kila kitu. Walibadilisha mfumo wa elimu bila sababu na sasa tumekuwa na wahitimu wengi ambao hawaajiriki kwa sababu hawana ujuzi wa kutenda (practical knowledge). Hata kwenye vyuo ule mfumo wa elimu kwa vitendo (field work studies) haupo kwa kuwa fedha zake hazitolewi. Kwa mtindo huu wahitimu watakuwaje na ujuzi wa kutenda kazi? Sioni Tanzania ya viwanda tunayoitaka itafanikiwa vipi wakati Technical Colleges zimefutwa au kugeuzwa vyuo kwa hivyo hatutakuwa na mafundi wa kutosha wenye uzoefu kivitendo

You are right....those good days viwanda vingi vilikuwa mali ya serikali. Kupokea wanafunzi kwa ajili ya industrial training attachement haikuwa option ila lazima kiwanda kiwapokee ofcourse kulingana na nafasi walizo nazo....Siku hizi no practical at all...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu,
kama mada inavyojieleza,zamani Tanzania tulifana sana ktk nguvu kazi,naenda mbali zaidi...sasa Ulaya na marekani Huko viwandani,vya magari,meli,machine kubwa na ndogo,Plant za ukubwa mbali mbali kazi nyingi zinafanywa na technician level....

hii ndo kada ya kazi,ndo watendaji hawa,Siri kubwa ya Ujerumani kufanikiwa ni kuwa na hawa watu kwa wingi,sisi tumejaza ma Engineer,kutwa kushika kalamu na spana za hapa na pale na kuagiza,Ukienda viwanda vingi vya wazungu huta kutu Utitiri wa Degree holder hasa kwenye technical field,utawakuta wache tuu kwa ajili ya consultant na design tuu,ila ambavyo sehemu kuba huwa ni initial stage,na kwenye commisioning,kwenye operation wapo ila ni wachache sana,kada nyingi kam electrical,mechanical,Process,lab,wanaofanya kazi kubwa ya kuendesha mitambo na matengenezo ni technician level...ukitaka kuthibitisha hili nenda viwanda vya wazungu hapa bongo....hii imetufanya kila kada tunataka kuweka msomi wa kiwango cha juu zaidi ili ufanisi uwe mkubwa....kitu ambacho ni nadra sana...unaweza kuta tunataka hata kumuweka Prof,Au Dr,awe Mkurugenzi wa kiwanda na Plant manager tukiwa na Imani ndo mwenye akili wakati sio halisi...cha Msingi ni uzoefu wa eneo husika,Hebu Watanzania tujifunze kwa makampuni/viwanda vya wazungu vilivyo.maanake ndo benchmark yetu...ukikuta MD,AU PLANT MANAGER ANA Phd or Prof,njoo hapa nikupe laki 2.

Private company ndo wanafanya vizuri lakini hatujifunzi toka kwao....
na Hii inapelekea wasomi hao Eng,Dr,wakiajiriwa na kampuni za Wazungu huishia kufanya kazi za technician levvel na kuanza kullalamika kuwa haeshimiwi...
sisemi kuwa Wasomi wa degree hawahitajiki,la hashaa....ila tumewapa kipaumbele sana na kufanya zile kazi ambazo zinachukua watu wengi skilled labour kufanywa na Degree holder....

Ripoti ya world bank iko wazi sana,unaweza shangaa jamaa wanaota au....but ndo ukweli huo...tuwekeze kwenye technician level...haswa kwenye kujenga viwanda....Product giving organisation....na sio kujiita Eng.laki...Dr.luo....Adv.kai....wenzetu ni wasomi lakini hawana hizi tabia angalia OBAMA ni Phd holder lakini hajiiti Dr,Angel makel pia,wapo wengi tuuu tufanye kazi na mkazo zaidi ni kwenye mafunzo ya Muda mfupi ambayo yanajenga uwezo(capacity building).
Mtoa mada kwa kiasi kikubwa uko sahihi,tunahitaji technical schools kwa kuwa tunahitaji
technicians wengi zaidi kuliko management cadre, hasa kwenye viwanda,migodi nk.Kwenye middle management level ndipo tunapohitaji specialized degrees kwenye fani husika ili kusimamia technicians na hawa ni wachache sana.Kwenye level ya CEOs ndipo tunapohitaji mtu aliyebobea kwenye Personnel Management na huyu ni mmoja tu kwenye kiwanda,mgodi au institution yeyote.
 
Kudumaza viwanda ulifanyika mpango mahususi kuondoa mafunzo ya ufundi shule za sec, kuondoa kozi ya ftc, na kuondoa mafunzo ya vitendo.
 
Back
Top Bottom