Watumishi wa umma ni wakuonewa huruma

Watumishi wa umma ni wakuonewa huruma

moesy

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2012
Posts
3,555
Reaction score
3,539
Imenisikitisha kugundua baadhi ya watumishi wa uma wanashindia mlo mmoja tu, maisha yamekuwa magumu mnoo.

Kwa utafiti wangu licha ya maslai(mishahara na posho) kuwa ndogo, pia tabia ya watumishi kuchukua mikopo isiyo na kichwa wala miguu imechangia watumishi wa uma kuishi maisha ya dhiki mnoo.

Nina fahamu watumishi 3 wanaoshindia mlo mmoja na kwa baadhi ya siku wanapitisha bila kula wanabaki kushindia maji.

Kiufupi usionee mtu anacheka usoni, rohoni ni majonzi makubwa.
Hii imepelekea kushuka sana kwa ufanisi maofisini na sijui itakuwaje kwa nchi ya viwanda iwapo hali hii itaendelea.
 
sema walimu wasio kuwa na posho katikati ya mwezi, semina, wala allowance nyinginezo plus makato kibao mshahara wenyewe kiduchu.
 
Sio walimu tu, ata kada zingine
 
Sema tu ni wewe na wenzako wawili ndio mnashindia maji
poleni sana 2020 mfanye kweli
 
Mwezi uluopita nilienda ofisi za harimashauli kurenew leseni yangu aisee pesa zote zinapitia bank kule ni silp tu!
 
Watumishi walalamikaji hii nchi ni waalimu, sema waalimu wanakula mlo mmoja iwe wazi kwa kila mtu.
 
Back
Top Bottom