Ombi kwa Lazaro Nyalandu: Watoto wa Kagera wanastahili kama ya Arusha

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,958
7,512
Tuliona ulivyokuwa mstari wa mbele kuwasaidia watoto wa ajari Arusha na tunaamini unawapenda watanzania wote. Sasa huko Kagera leo watoto wadogo wamrlipukiwa na bomu na wanahitaji msaada wa matibabu, tunaomba walau ufike tu na ukawape pole naamini itasaidia. Tanzania ni yetu sote
 
Ukitoa msaada kwa mtu sio lazma kumsaidia mwingne

sema hao watt wazazi wao si walikua wanalipa kodi jukumu la serikali hio
lazaro anaeza kuchangia hela mkataka kuzila tena
 
Kwani kila kitu ni lazima kifanywe na Nyalandu, hata wewe unaweza kupeleka msaada wa matibabu siyo lazima Nyalandu. Au kuna kipi ambacho hukupenda wakati anajitolea wakati wa yale maafa?
 
Wakati huu akiwasaidia hao watoto mtaimba nyimbo gani tena?maana wakati ule wa watoto wa Lucky Vincent mlishushia na kibwagizo cha CCM.
 
56b7d96dfc061fa0d0fc3955a261de66.jpg

Arusha yalitokea mengi. Sasa sijui unamaanisha na hili liwe applied huko.
 
Nyalandu tusaidie madaktari wako tuhudumie watoto wetu, walau toa pole hata kwa njia ya redio tu naamini sauti yako na salamu zako zitaketa uponyaji kwa watoto
 
Back
Top Bottom