Msaada kuhusu ndoto inayoendelea kwa three nights mfululizo

Msaada kuhusu ndoto inayoendelea kwa three nights mfululizo

Gogle

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
1,495
Reaction score
871
Wakuu,
Usiku wa kuamkia juzi niliota nimepata ajali ya ndege, ndege ilianguka baharini karibu na nchi kavu huko sudan, ilipoanguka tu nikashtuka ndoto ikaishia hapo.

Usiku wa kuamkia jana ndoto ikaendelea nikiwa katika hekaheka ya kujiokoa nikafanikiwa, nikahojiwa na waandishi wa habari nikapelekwa hospitali, nilipochomwa sindano tu nikashtuka ndoto ikaishia hapo.

Usiku wa kuamkia leo nimeota familia yangu wamekuja kuniona hosp sudan, wakanifariji, askari wamenizunguka wakinitilia shaka kuwa nahusika na kuingusha ndege ile, wanasubiri majibu ya daktari kuona kama wanaweza kuondoka na mimi kuniweka lock up, ndoto imeishia hapo nikaamka.

Sikumbuki huko nyuma kama nishawahi kuota ndoto endelevu kama hivi.
Nyinyi wenzangu kuna aliyewahi kuota ndoto za kuendelea kama hivi?
Kuna namna ya kufanya ili hii ndoto isiendelee usiku wa leo?

Msaada wajameni

Gogle
 
Wakuu,
Usiku wa kuamkia juzi niliota nimepata ajali ya ndege, ndege ilanguka baharini karibu na nchi kavu huko sudan, ilipoanguka tu nikashtuka ndoto ikaishia hapo.

Usiku wa kuamkia jana ndoto ikaendelea nikiwa katika hekaheka ya kujiokoa nikafanikiwa, nikahojiwa na waandishi wa habari nikapelekwa hospitali, nikipochomwa sindano tu nikashtuka ndoto ikaishia hapo

Usiku wa kuamkia leo nimeota familia yangu wamekuja kuniona hosp sudan, wakanifariji, askari wamenizunguka wakinitilia shaka kuwa nahusika na kuingusha ndege ile, wanasubiri majibu ya daktari kuona kama wanaweza kuondoka na mimi kuniweka lock up, ndoto imeishia hapo nikaamka.

Sikumbuki huko nyuma kama nishawahi kuota ndoto endelevu kama hivi.
Nyinyi wenzangu kuna aliyewahi kuota ndoto za kuendelea kama hivi?
Kuna namna ya kufanya ili hii ndoto isiendelee usiku wa leo?

Msaada wajameni

Gogle
Ndio mara ya kwanza kusikia ndoto yenye mwendelezo wa namna hii.... Kwa kawaida ilipaswa ijirudie ileile ila hii ni Kama imejirudia katika mwendelezo....
Kiuhalisia hii hatuwezi kuita ni ndoto ya kawaida bali inaweza kuwa ndoto taarifa ama ndoto maono kuna ujumbe unajaribu kupewa na naomba uangalie mpaka siku saba kama utaendelea kuota ama la na mwendelezo utakuwaje!
Fuatilia kwa makini matukio mageni hasa siku ya saba 14 na 21
Labda akina mshana jr wakija wanaweza kusema lolote hapa.


Mshana Jr ni jibu LA Tatizo lako


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio mara ya kwanza kusikia ndoto yenye mwendelezo wa namna hii.... Kwa kawaida ilipaswa ijirudie ileile ila hii ni Kama imejirudia katika mwendelezo....
Kiuhalisia hii hatuwezi kuita ni ndoto ya kawaida bali inaweza kuwa ndoto taarifa ama ndoto maono kuna ujumbe unajaribu kupewa na naomba uangalie mpaka siku saba kama utaendelea kuota ama la na mwendelezo utakuwaje!
Fuatilia kwa makini matukio mageni hasa siku ya saba 14 na 21







Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umenitisha sana,
Kumbe ndoto za aina hii ni ngeni hata kwako?!! Msalie mtume

Leo sidhani kama nitalala
Ili kuepuka kuendelea na hii ndoto

Gogle
 
Mkuu mshana jr ina maana kuna uwezekano ikaendelea hadi hiyo siku ya saba na 14 na 21? Duh Allahu Akbar

Gogle
 
Back
Top Bottom