Majibu ya Waziri Makame Mbalawa dhidi ya maswali ya papo kwa papo ya Rais Magufuli

mbari

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
509
421
Nimeona ile clip ya Waziri Prof. Makame Mbalawa akijibu maswali ya Rais Dr. Magufuli wilayani Karagwe.

Nimesikitika sana kuona viongozi waliopewa dhamana na kuaminika wamekuwa wakifanya kazi kiuoga sana.Waziri alikuwa anajibu maswali kwa ku-loose tention na kukosea kosea maelezo.

Profesa kajibu maswali kijuu juu sana nahisi kuna kitu hakipo sawa katika hawa viongozi.

Nawakaribisha kutoa maoni.
 
Katika watu ninaowakubari ni huyu jamaa, sema tatizo wanafanya kazi kwa uoga na kwa kutaka kumfurahisha mkuu hata kama kitaalam na kiutaratibu kufanya hivyo sio sawa.
Nilimwonea huruma sana yule mama aliyetumbuliwa wakati anaulizwa maswali.
Aisee ni njaa tu ndiyo inasumbua nahisi watu wengi wasingependa kupewa nafasi za kuteuliwa na jpm
 
Nimeona ile clip ya mh waziri prof Makame Mbalawa akijibu maswali ya Mh Rais Dr JPM Jana kule bukoba.. Dah nmeskitika sana kuona viongoz waliopewa dhamana na kuaminika wamekuwa wakifanya kazi kiuoga sana... Mh waziri alikuwa anajibu maswali kwa ku-loose tention na kukosea kosea maelezo... Profesa kajibu maswali kijuu juu sana nahis kuna kitu hakipo sawa katika hawa viongozi...

Nawakaribisha kutoa maoni.
Una maana gani mkuu?!
 
IMG-20171107-WA0009.jpg
 
Kuna mjeshi mmoja alikuwa mkuu wa wilaya Mwanza huko. Enzi zile Lowassa Waziri Mkuu naye slikuwa na mtindo wa kuuliza maswali ya ajabu ajabu ghafla.

Jamaa alimjibu vibaya Lowassa mpska ikawa aibu.

Ukiwa bosi hilo halimaanishi udhalilishe watu tu.
 
Nimeona ile clip ya Waziri Prof. Makame Mbalawa akijibu maswali ya Rais Dr. Magufuli wilayani Karagwe.

Nimesikitika sana kuona viongozi waliopewa dhamana na kuaminika wamekuwa wakifanya kazi kiuoga sana.Waziri alikuwa anajibu maswali kwa ku-loose tention na kukosea kosea maelezo.

Profesa kajibu maswali kijuu juu sana nahisi kuna kitu hakipo sawa katika hawa viongozi.

Nawakaribisha kutoa maoni.

Alingea nini? alijikanyagaje? Embu jifunze kuandika habari kamili. Hatuko kichwani mwako!
 
Alingea nini? alijikanyagaje? Embu jifunze kuandika habari kamili. Hatuko kichwani mwako!
Nafikiri kuna baadhi ya watu wameigeuza jf ni server ya kuwashikia akili zao na kutunza ubongo pia.

Mods inabidi wafikirie upya badala ya kuwa "home of great thinker" iwe kama gugo ya Tanzania na slogan iwe "We dare to think and search openly"
 
Unanijibu mimi hivyo?
Yani anakuwa kama anaongea na watoto...
Power
Na yeye kwanin ajibu kwamba anasimamia idala nyingi sasa yeye na Rais nani mwenye idara nyingi inaelekea hata kwa mume wake anajibu vilevile tunaoishi na wanawake tunajua pale alijibu ovyo ovyo.
 
Back
Top Bottom