Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Usafiri wa anga ni mojawapo ya kipimo na kigezo kikubwa cha jiji kuwa la kimataifa. Hata hivyo, siyo majiji yote makubwa duniani (yenye wakazi angalao kuanzia 600,000) yana "viwanja vya ndege vya...
10 Reactions
114 Replies
33K Views
Kuna tetesi nmezipata mahali ingawa sijathibitisha kama ni kweli. Jumomosi nilikuwa nmekaa na mchumi mmoja mahali fulani(jina la sehemu na mhusika nahifadhi). Inasemekana bwana mkubwa amepanga...
2 Reactions
45 Replies
7K Views
Nimemona kwenye TV Rais akifunga mafunzo ya JKT kwa wabunge ambayo yalichukua wiki tatu tu. Nilishapitia jeshini na mafunzo yetu yalichukua mwaka mmoja. Kwa muda wa mwaka mmoja tuliweza...
7 Reactions
34 Replies
11K Views
Naomba kusaidiwa Mfuko huo unasaidiaje wazee wenye mazingira magumu? Au anayejua chanzo sahihi cha hizi habari anijulishe, naomba usaidizi wenu wanajamii asanten.
0 Reactions
0 Replies
747 Views
angalia afrika mashariki,umasikini mkubwa sana,ulaya mashariki umasikini mkubwa sana kusini mwa jangwa la sahara ni umasikini tu,amerika kusini umasikini tupu angalia ulaya magharibi,nchi zote...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Kampuni ya mabasi ya mwendo kasi UDART itatumia zaidi ya milioni 400 kutengeneza mabasi yaliyoharibiwa na mafuriko kutokana na mvua zilizonyesha jijini Dar es Salaam. Wabongo tutaendelea kupata...
5 Reactions
45 Replies
4K Views
Shughuli za uzalishaji katika machinjio ya kimataifa ya Kizota Dodoma zimesimama kwa muda kufuatia wafanyabishara wa Nyama kugoma wakiwatuhumu wafanyakazi wa eneo hilo kuiba nyama hali iliyozua...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wandugu! Nisipoteze muda, naomba niende moja kwa moja kwenye Topic. Huku mtaani kwenu kuna mbinu mpya ambayo wezi wamegundua ili kutuibia kiurahisi nyakati za Usiku. 1. Wizi wa...
10 Reactions
37 Replies
6K Views
Hii nimeona mara nyingi lakini leo ndio nimeshangaa zaidi pale mshindi wa kamari ya Biko kutoka Bagamoyo ndugu Kahemele alipokabidhiwa zawadi yake ya sh milioni 20 na DAS wa Bagamoyo...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Mwanasissa Mkongwe, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru ni mgonjwa na amekuwa akiripoti Kiliniki katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa matibabu. Haijajulikana mzee Kingunge anasumbuliwa na nini...
2 Reactions
18 Replies
12K Views
MAHAKAMA ya Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi, imemhukumu Lazaro Ngomalala (50), mkazi wa Kijiji cha Sibwesa wilaya ya Tanganyika kifungo cha maisha baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jana kuna ndugu yangu alienda Hospitali ya temeke kutibiwa ., Ila cha kushangaza baada ya kupata matibabu alikabidhiwa kadi ya benki ya CRDB. Nimemuuliza hiyo kadi ina kazi gani yeye mwenyewe...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kuna utafiti nimeufanya kuhusu watu wenye roho mbaya wako hivi; 1.Hupenda kujiona wao ni wema na wasafi kuliko wengine. 2.Hupenda kulalamika tuu. 3.Hawapendi ushirikiano katika shida za wenzao...
5 Reactions
22 Replies
16K Views
Nilikiwa napitia histolia ya viongozi Africa hususani kwa wale waliokuwa ni marafiki wa kubwa wa USA enzi hizo,nikaona ni vyema ni wajuze wana JF wenzangu kuwa huyu RAISI wa Zaire zamani Mobutu...
1 Reactions
21 Replies
21K Views
Kwa sasa ni kituo cha ovyo kuliko vyote hapa nchini.Quality ya ovyo.Inaweza ku scractch na kukata picha na sauti mfululizo kwa muda mrefu as if hawana watu wanaoshughulikia ubora wa natangazo...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Habarini wajameni, Kumekuwa na ujambazi mpya siku hizi watu hawaji kuvamia wala nini, jirani zangu wawili wameibiwa kwa staili hiyo, wamekuja jamaa wameshika radio call wanajidai wanaongea...
8 Reactions
29 Replies
3K Views
Pamoja na Tanzania kufaidika kiuchumi kutokana na ujenzi wa bomba la Mafuta toka Kabaale, Uganda hadi jijini Tanga, bado itapata hisa za asilimia 8 katika uendeshaji wa shughuli za uzalishaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kampuni ya udalali ya Yono asubuhi ya leo November 9, 2017 imeifunga Hotel ya Blue Pearl iliyopo kwenye jengo la Ubungo Plaza eneo la Ubungo kutokana na mmiliki wake kudaiwa kodi ya pango Tshs...
4 Reactions
73 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…