Kwanini washindi wa bahati nasibu ya Biko hukabidhiwa zawadi na makatibu tawala wilaya (DAS)?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,826
141,736
Hii nimeona mara nyingi lakini leo ndio nimeshangaa zaidi pale mshindi wa kamari ya Biko kutoka Bagamoyo ndugu Kahemele alipokabidhiwa zawadi yake ya sh milioni 20 na DAS wa Bagamoyo.

Kilichonishangaza ni pale DAS alipodai serikali itafuatilia na kusimamia matumizi na uwekezaji wa kijana huyo kupitia fedha hizo, sijaelewa serikali inahusika vipi na usimamizi wa fedha hizo za Biko ya kina Mpoki na Kajala.

Chanzo: ITV
 
Hii nimeona mara nyingi lakini leo ndio nimeshangaa zaidi pale mshindi wa kamari ya Biko kutoka bagamoyo ndugu Kahemele alipokabidhiwa zawadi yake ya sh milioni 20 na Das wa bagamoyo. Kilichonishangaza ni pale Das alipodai serikali itafuatilia na kusimamia matumizi na uwekezaji wa kijana huyo kupitia fedha hizo, sijaelewa serikali inahusika vipi na usimamizi wa fedha hizo za Biko ya kina Mpoki na Kajala. Source ITV!!
Kwa sababu hao DAS mikoani wana Nguvu sana, ndio maboss wenyewe.
Ila kwa hapa Dar sidhani kama hata DAS anajulikana maana hili jiji lina kila aina ya Boss kiasi kwamba DAS anaonekana Raia wa kawaida tu
 
Back
Top Bottom