Sifa za watu wenye roho mbaya

  • Thread starter MSELA WA MANZESE
  • Start date

MSELA WA MANZESE

MSELA WA MANZESE

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Messages
1,037
Likes
1,578
Points
280
MSELA WA MANZESE

MSELA WA MANZESE

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2017
1,037 1,578 280
Kuna utafiti nimeufanya kuhusu watu wenye roho mbaya wako hivi;

1.Hupenda kujiona wao ni wema na wasafi kuliko wengine.

2.Hupenda kulalamika tuu.

3.Hawapendi ushirikiano katika shida za wenzao ila za kwao hupenda ushirikiano asaidiwe.

4.Hawapendi kukosolewa ila wanapenda kuwakosoa wengine

5.Ni wagumu kutoa pesa zao kumsaidia mtu asiye na faida naye ila wao wakiwa na shida huomba msaada kwa watu ambao hawana faida nao.

Hawa ni watu wenye roho mbaya, haya ongezea zingine.
 
Low Battery

Low Battery

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Messages
207
Likes
118
Points
60
Low Battery

Low Battery

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2015
207 118 60
Pia wana wivu uliopitiliza..!
 
BIGstallion

BIGstallion

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Messages
6,433
Likes
7,752
Points
280
BIGstallion

BIGstallion

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2016
6,433 7,752 280
Husda sana tena wanakumaliza kimya kimya, japo kila siku wanakuchekea
 
Ronal Reagan

Ronal Reagan

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
4,837
Likes
1,552
Points
280
Ronal Reagan

Ronal Reagan

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
4,837 1,552 280
Hayo uliyoyaandika yana ukweli ndani yake.
 
GIUSEPPE

GIUSEPPE

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2011
Messages
5,319
Likes
5,657
Points
280
GIUSEPPE

GIUSEPPE

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2011
5,319 5,657 280
Kuna utafiti nimeufanya kuhusu watu wenye roho mbaya wako hivi;

1.Hupenda kujiona wao ni wema na wasafi kuliko wengine.

2.Hupenda kulalamika tuu.

3.Hawapendi ushirikiano katika shida za wenzao ila za kwao hupenda ushirikiano asaidiwe.

4.Hawapendi kukosolewa ila wanapenda kuwakosoa wengine

5.Ni wagumu kutoa pesa zao kumsaidia mtu asiye na faida naye ila wao wakiwa na shida huomba msaada kwa watu ambao hawana faida nao.

Hawa ni watu wenye roho mbaya, haya ongezea zingine.
Namba tano haihusiki hapo
 
wamaukweli

wamaukweli

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Messages
901
Likes
1,024
Points
180
wamaukweli

wamaukweli

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2017
901 1,024 180
Kuna utafiti nimeufanya kuhusu watu wenye roho mbaya wako hivi;

1.Hupenda kujiona wao ni wema na wasafi kuliko wengine.

2.Hupenda kulalamika tuu.

3.Hawapendi ushirikiano katika shida za wenzao ila za kwao hupenda ushirikiano asaidiwe.

4.Hawapendi kukosolewa ila wanapenda kuwakosoa wengine

5.Ni wagumu kutoa pesa zao kumsaidia mtu asiye na faida naye ila wao wakiwa na shida huomba msaada kwa watu ambao hawana faida nao.

Hawa ni watu wenye roho mbaya, haya ongezea zingine.
Mbon kama unamlenga bwana yuleeeee
 
zero percent

zero percent

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2017
Messages
422
Likes
389
Points
80
zero percent

zero percent

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2017
422 389 80
Wana roho ya kwann
 
MANDELAA KIWELU

MANDELAA KIWELU

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Messages
3,697
Likes
4,510
Points
280
MANDELAA KIWELU

MANDELAA KIWELU

JF-Expert Member
Joined May 16, 2011
3,697 4,510 280
Wanapenda kuombewa lakini wao hawapendi kuombea wenzao...

Wanatamani malaika waishi kama mashetani ilhahi wao ni mashetani wanaotaka kuishi kama malaika...

Wanapenda wasikilizwa na kusikika wao ilhali wao hawapendi kusikiliza sauti za wengine....

Shida zao ni zetu chaajabu shida zetu haziwahusu..
 
K

kimondo msolopa

Member
Joined
Feb 18, 2011
Messages
81
Likes
55
Points
25
K

kimondo msolopa

Member
Joined Feb 18, 2011
81 55 25
Hawapendi ku appreciate kitu kizuri cha mtu wao kwao ni kasoro tu kikiwa kizuri wanaponda kikiwa kibaya wanapongeza

Wakuda

Wazandiki

Wachoyo
 
Sibonike

Sibonike

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2010
Messages
11,686
Likes
6,777
Points
280
Sibonike

Sibonike

JF-Expert Member
Joined Dec 23, 2010
11,686 6,777 280
Wana visasi sana.
Wanapenda kuonewa huruma.
Ni wauwaji.
 
Nyendeke

Nyendeke

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2013
Messages
1,380
Likes
2,035
Points
280
Nyendeke

Nyendeke

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2013
1,380 2,035 280
Ila sijui ni kwanini wengi huwa wanafanikiwa sana..,
 
fidel castro wapili

fidel castro wapili

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2017
Messages
581
Likes
270
Points
80
fidel castro wapili

fidel castro wapili

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2017
581 270 80
Kuna utafiti nimeufanya kuhusu watu wenye roho mbaya wako hivi;

1.Hupenda kujiona wao ni wema na wasafi kuliko wengine.

2.Hupenda kulalamika tuu.

3.Hawapendi ushirikiano katika shida za wenzao ila za kwao hupenda ushirikiano asaidiwe.

4.Hawapendi kukosolewa ila wanapenda kuwakosoa wengine

5.Ni wagumu kutoa pesa zao kumsaidia mtu asiye na faida naye ila wao wakiwa na shida huomba msaada kwa watu ambao hawana faida nao.

Hawa ni watu wenye roho mbaya, haya ongezea zingine.
Upo sahihi
 
mbalizi1

mbalizi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2015
Messages
12,415
Likes
20,327
Points
280
mbalizi1

mbalizi1

JF-Expert Member
Joined Dec 16, 2015
12,415 20,327 280
Sura nguumuuu
 
Forum statistics

Threads 1,238,200
Members 475,856
Posts 29,312,607