Mjue Mobutu Sese Seko

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
images
images
images
images

Nilikiwa napitia histolia ya viongozi Africa hususani kwa wale waliokuwa ni marafiki wa kubwa wa USA enzi hizo,nikaona ni vyema ni wajuze wana JF wenzangu kuwa huyu RAISI wa Zaire zamani Mobutu Sese Seko Nkuku Ngbendu wa Za Banga ndiye aliye kuwa Raisi wa kwanza Africa kupata misaada mingi kutoka USA ,ALSO While in office, he formed an authoritarian regime, amassed vast personal wealth, and attempted to purge the country of all colonial cultural influence, while also maintaining an anti-communist stance.

nikaja kugundua kuwa USA walikuwa wakimpa misaada mingi bwana Mobutu Sese Seko Nkuku Ngbendu wa Za Banga kwa lengo la kuchuwa MADINI kwa uraisi,

kama inavyotokea hapa TZ tunapewa misaada mingi ya vyandalua kwa kubadilishana na MADINI yetu

Pia hebu pata histolia yake alipotokea mpaka uraisi

Mobutu Sese Seko was born Joseph Désiré Mobutu on October 14, 1930 at Lisala, Equateur province in the Belgian Congo. His father was Alberic Bemany, a cook and domestic servant who died when Mobutu was young. His mother was Marie-Madeleine Yemo, a hotel maid.

A somewhat troubled child from a humble background, Mobutu attended catholic schools sporadically as his mother moved them frequently. By most accounts he was bright, exhibited a keen (if not sometimes misguided) intellect, and managed to receive a fairly good education in the various catholic missionary schools he attended in his youth. A precocious young man he was often reprimanded for unruly or insubordinate behavior and was

eventually expelled from school receiving a disciplinary conscripted into the Force Publique (the colonial army of the Belgian Congo) in 1950.

Bright, fairly well educated, and fluent in French he was trained as an noncommissioned officer and given a desk job as an accountant at army headquarters in Kinshasa. By the time of his discharge he had risen to the rank of sergeant-major, the highest rank allowed to natives of the Congo under colonial rule. More importantly he had established important military connections that would serve him well in the future.

Tafuta kitabu cha State of Africa by Martin Meredity, yamesemwa yote kuhusu upuuzi wa viongozi wengi wa kiafrika kama Mobutu na jinsi walivyoweza kukaa madarakani kwa mgongo wa Western Interests.
 
Ujue hela sio sabuni ya roho Mobutu alipokufa alizikwa na watu wanne tu tena na maziko yake yalifanyikia nje ya nchi aliyokua anaongoza! Rest in Hell Kuku wa Zabanga!
 
Tafuta kitabu cha State of Africa by Martin Meredity, yamesemwa yote kuhusu upuuzi wa viongozi wengi wa kiafrika kama Mobutu na jinsi walivyoweza kukaa madarakani kwa mgongo wa Western Interests.

Mkuu wellsaid, ninakisoma na mwandishi ameonesha jinsi hili bara zima zima lilivyo shamba la Bibi hiyo ni tisa kumi ameweka wazi hatua kwa hatua jinsi walivyomuua Lumumba so sad!
 
jamaa aliiweza sana zaire..........sidhani kama atatokea mwingine atakaeweza kuiendesha nchi ile katika amani na utulivu kama mobutu ingawa watu wengi waliuchukia mfumo wake wa utawala ila jamaa mimi kwa upande wangu naona nchi ile ilihitaji kua na kiongozi wa type hii
 
Umenikumbushia huyo Maleshaa Mobutu Seseko Nkuku Ng'endu Wa Zabanga,ni mtu ambaye kwenye historia ya hii africa,hatasahaulika kwa ujinga wake!!
Huyu jamaa baada ya Kumng'oa jamaa mmoja hv aliyekuwa anaitwa KASAVUBU,rais wa pili wa RDC..yeye ndo aliingia madarakani akisaidiwa na USA,na baadae aling'olewa tena madarakani na bwna mmoja anaitwa Gen..LAURENT KABILA akisaidiwa na FRENCH,badae tena huyu kabila akauawa na watu ambao wanasadikiwa walitumwa na USA,hv sasa unaiona RDC,imetulia kwakuwa USA,wamewekeza pale na wamemweka kijana wao pale Le grand Josee Laurent Kabila!!
Kweli Africa ni Shamba La bibi!!
 
Ujue hela sio sabuni ya roho Mobutu alipokufa alizikwa na watu wanne tu tena na maziko yake yalifanyikia nje ya nchi aliyokua anaongoza! Rest in Hell Kuku wa Zabanga!

Yeah ni kweli na alifariki akiwa uhamishoni Rabat, Morocco baada ya vita baridi ya mda mrefu na ugonjwa wa cancer akiwa na miaka 66,ingawaje aliongoza Zaire kwa miaka 31 lakini bado alizikwa na watu wanne tu kweli hii ni aibu

Na wakati huo mwanamapinduzi Laurent Desire Kabila alikuwa akiongoza mapambano ya uhuru wa nchi hiyo na baada ya kumwondoa mkoloni mweusi marehemu Kabira alibadilisha jina la nchi na kuiita CONGO MWAKA 1971,

Bado naye hajafaidi matunda ya ukombozi huo mtoto wake akamtoa maisha kwa kutaka kutawala nchi

kweli madaraka matamu bana

tunamsubiri Rizi nae amtoe roho mzee ili aongoze nchi kama ataweza

Ungeitafasiri kwa kiswahili ingekuwa tofauti kidogo...coz hata ukigoogle nadhani utapata same story!!
 
Tafuta kitabu cha State of Africa by Martin Meredity, yamesemwa yote kuhusu upuuzi wa viongozi wengi wa kiafrika kama Mobutu na jinsi walivyoweza kukaa madarakani kwa mgongo wa Western Interests.

mkuu nitakipataje kitabu hicho? kama unakopi fanya fanya watu wakione,nimecheki ktk neti naona wanataka PESA,Kama vipi tugawane umasikini
 
Ujue hela sio sabuni ya roho Mobutu alipokufa alizikwa na watu wanne tu tena na maziko yake yalifanyikia nje ya nchi aliyokua anaongoza! Rest in Hell Kuku wa Zabanga!
Udikteta wake,unyanyasaji,na ubinafsi ndivyo vilivysababisha yote hayo.tena nasikia kazikwa huko moroco tena jangwani ili asilinajisi taifa lao(moroco).
 
Mkuu wellsaid, ninakisoma na mwandishi ameonesha jinsi hili bara zima zima lilivyo shamba la Bibi hiyo ni tisa kumi ameweka wazi hatua kwa hatua jinsi walivyomuua Lumumba so sad!
Mkuu unaweza kuwa na link ya hiki kitabu?
 
Ujue hela sio sabuni ya roho Mobutu alipokufa alizikwa na watu wanne tu tena na maziko yake yalifanyikia nje ya nchi aliyokua anaongoza! Rest in Hell Kuku wa Zabanga!
Alizikwa Kama mnyama fulani ......lkn nashanga viongozi wa afrika hawajifunzi bado
 
Back
Top Bottom