Watoto 33 kati ya waliojeruhiwa na bomu Kagera kuruhusiwa kutoka hosipitali

LENGISHO

Senior Member
Sep 15, 2017
169
245
majeruhi.jpg
WAHANGA WA MLIPUKO KAGERA:
Wanafunzi 33 kati ya 45 waliojeruhiwa na bomu lililolipuka Jumatano Ngara ,mkoani Kagera kusini Magharibi mwa Tanzania,wanategemea kuruhusiwa kutoka hosipitali ya Rulenge ambapo walikuwa wanapata matibabu.
Bado watoto wanne wako mahututi na wanategemea kupelekwa katika hospitali ya rufaa. majeruhi.jpg
 
Back
Top Bottom