Bodi ya Korosho (CBT) imesema haiusiki na uagizaji wa magunia ya kuhifadhia korosho


miss zomboko

miss zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Messages
1,514
Likes
2,590
Points
280
miss zomboko

miss zomboko

JF-Expert Member
Joined May 18, 2014
1,514 2,590 280
Bodi ya korosho Tanzania (CBT),imesema haiusiki na uagizaji wa magunia ya kuhifadhia korosho za wakulima katika mikoa iliyoanza kufanya minada ya kuuza zao hilo,ambapo kwa sasa kuna uhaba wa bidhaa hiyo inayopelekea korosho kuchelewa kwenda kwenye minada.

Kauli hiyo imetolewa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa bodi ya korosho Tanzania, Hassani Jarufu,kwenye kikao cha tathimini ya mwenendo wa minada kilichowakutanisha wanunuzi wa korosho,vyama vikuu na taasisi za kifedha.ITV
 

Forum statistics

Threads 1,237,962
Members 475,776
Posts 29,308,086