Ndugu wanajamvi,
Mimi ni miongoni mwa watumishi ambao nilistahili kupanda daraja tangu April 2016. Ndugu zangu wakipandishwa madaraja.
Je nitalipwa tokea nilipostahili kupanda daraja au...
Jumla ya kaya 19 zenye wakazi zaidi ya 100 katika kijiji cha Mipeta kata ya Mhukuru wilaya ya Songea mkoani Ruvuma zimekosa makazi ya kuishi kutokana na nyumba zao kuezuliwa na zingine kubomolewa...
Wakati nikijifunza zaidi kuhusu Ndoa Za mitala katika dini na imani mbali mbali kupitia mtandao wa wikipedia, nimegundua kuwa katika Ukristo walutherani wanaruhusiwa kuoa wake wengi.
Luther...
Mfanyabiashara, Ndama Shabani Hussein (Pichani katikati) maarufu kama Ndama mtoto ya Ng'ombe amekiri mahakamani kosa la kutakatisha zaidi ya billioni 1.2.
Ndama anadaiwa kuwa Februari 20, 2014...
Wadau,
Ni kitu ambacho najiuliza siku nyingi ila nakosa jibu. So leo nikaona si mbaya kubadilishana fikra na ndugu zangu.
Kuna hii kampuni ya YONO ambayo kwa sasa ndio imeaminiwa na serikali ya...
Nimekuwa na mashaka makubwa sana juu ya kazi za Mungu wafanyazo manabii wa Kikiristo ndani na nje ya nchi,kama kweli wanafanya kazi ya Mungu ama shetani
Hapa nchini makanisa mengi yamekuwa...
Nashauri tufanye uamuzi kama tuliofanya kwenye huduma za simu, kwamba tuziruke awamu za maendeleo (bypass stages of development) kwa kuruhusu Tanzania iwe sehemu ya majaribio ya teknolojia magari...
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Kanda ya Kaskazini.
MPANDA milima mashuhuri Duniani kwa kutumia Baiskeli ,Juanito Oiarzabal ameweka rekodi ya kuwa Mhispania wa kwanza kupanda Mlima...
Miaka miwili sasa ya Uongozi nafikiri hofu ya kukaa magogoni haiko tena kwa Rais Magufuli, bila shaka keshapazoea pale na mauza uza yake... Na sijamwona kanisani afike kutoa shukrani ya pekee...
Katika kile kinachoonekana kuwa ni kukosa wateja au mdororo wa kiuchumi nchini na mifuko ya watu haina pesa kampuni ya visimbusi ya Tanzania intergrated network group maarufu kama Ting wamelazmika...
Ndugu zangu nipo njia panda.Sielewi nini cha kufanya.
Kwanza kabisa mm nimekosa mkopo toka HESLB kwa ajili ya masomo yangu ya elimu ya juu.
Jumla ya gharama ntakazotumia kwa miaka yangu 4 ya...
TANZIA: Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Serikali la Daily News, Rose Athuman amefariki Dunia akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar. Mungu ailaze roho yake mahala...
Kuna watu wamekuwa na maswali mengi sana juu ya ukomo Wa madaraka (Masaa ya kazi).
Kumekuwepo na sintofahamu juu ya ukomo Wa mamlaka yaan kwamba mamlaka ya mtu huendana na Masaa ya kazi...
1.Je binadamu ana mamlaka ya kumtunuku utakatifu binadamu mwenzake?
2. Vigezo gani huzingatiwa mpaka mtu apewe utakatifu?
3. Utakatifu wa mwanadamu unapimwaje?
4. Endapo mtu anatunukiwa...
Habari wanajukwaa.
Katika pitapita yangu huku na kule, mitandaoni na hata katika mazingira halisi nazidi kuona vijana wako katika wimbi la ujinga.
Nimeona vijana wakishare pages na picha za watu...
Barabarani kumekuwa na mashimo mengi ambayo yaweza kupelekea kuharibika kwa vyombo vya usafiri na kufanya wamiliki kuingia gharama za matengenezo. Sasa kodi ninalipa, kwenye mafuta kuna tozo ya...
Kwa mara ya kwanza hapa nchini Taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete imefanya upasuaji wa kurekebisha mshipa mkubwa unaotoa damu kwenye moyo kwenda sehemu zingine za mwili katika kambi maalum ya...
Afisa Msaidizi wa Forodha wa TRA Jennifer Mushi kafikishwa Mahakamani, anadaiwa kumiliki mali, kuishi kifahari kinyume na mshahara wake
-----
AFISA MSAIDIZI WA FORODHA ALIYEISHI KIFAHARI...
Nimetembea miko mingi ya Tanzania ila Moshi imenishangaza kwa kitu kimoja.
Wanawake ndyo wanaonekana wapambanaji kuliko wanaume.
Kwa mfano ukitembea mjini. Kati ya machinga kumi, 9 ni wanawake...