• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Taifa limejaa vijana wenye ufahamu mdogo sana. Tuombe kwaajili ya vijana

Bonde la Baraka

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Messages
4,612
Points
2,000
Bonde la Baraka

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2016
4,612 2,000
Habari wanajukwaa.
Katika pitapita yangu huku na kule, mitandaoni na hata katika mazingira halisi nazidi kuona vijana wako katika wimbi la ujinga.

Nimeona vijana wakishare pages na picha za watu maarufu kwa kuahidiwa kupewa zawadi mbalimbali hasa simu za iphone zenye gharama ya juu.
Mtu anasema nina simu 1000 kesho jioni nazigawa kwa watu 1000, ukishare mara nyingi utajinyakulia zawadi hii.

Wanashindwa hata kujiuliza maswali kama haya;

1. Simu 10000 zenye thamani ipatayo kama milioni 2 kila moja zitakuwa na gharama ya jumla ya sh. ngapi na je, nani aitoe bilioni mbili kwa vijana kama zawadi kwa kushare page yake tu?

2. Kama yeye atatoa zawadi zenye gharama ya bil.2 atapata faida gani ya ziada na kwa namna gani?

Halafu cha ajabu ujumbe ukiuangalia kwenye source yake kabisa ulitumwa miezi miwili nyuma ukisema zawadi zinatoka kesho lakini wao wanasambaziana kila leo.

Kama kijana anamtukana mwenzake kisa Manchester United au Arsenal huku ameusahau undugu wa kitaifa utasemaje huyo kijana yuko timamu?
Tusipoomba kwa nguvu mapema taifa litazidi kuzalisha vijana wa ajabu.
 
F

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Messages
3,783
Points
2,000
F

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2011
3,783 2,000
vijana wanauana kisa tako la mwanamke aliepita mbele yao na hata kumsalimia wakaogopa..

huyu anasema tako kubwa mwingine tako dogo mwishowe wanauana

wanabishana kuhusu man utd na arsenal hadi wanaumwa vichwa...
 
agata edward

agata edward

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2014
Messages
6,706
Points
2,000
agata edward

agata edward

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2014
6,706 2,000
kweli kabisa.alafu Bahati mbaya tunajiona tuna uelewa mkubwa.
 
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
27,807
Points
2,000
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
27,807 2,000
Habari wanajukwaa.
Katika pitapita yangu huku na kule, mitandaoni na hata katika mazingira halisi nazidi kuona vijana wako katika wimbi la ujinga.

Nimeona vijana wakishare pages na picha za watu maarufu kwa kuahidiwa kupewa zawadi mbalimbali hasa simu za iphone zenye gharama ya juu.
Mtu anasema nina simu 1000 kesho jioni nazigawa kwa watu 1000, ukishare mara nyingi utajinyakulia zawadi hii.

Wanashindwa hata kujiuliza maswali kama haya;

1. Simu 10000 zenye thamani ipatayo kama milioni 2 kila moja zitakuwa na gharama ya jumla ya sh. ngapi na je, nani aitoe bilioni mbili kwa vijana kama zawadi kwa kushare page yake tu?

2. Kama yeye atatoa zawadi zenye gharama ya bil.2 atapata faida gani ya ziada na kwa namna gani?

Halafu cha ajabu ujumbe ukiuangalia kwenye source yake kabisa ulitumwa miezi miwili nyuma ukisema zawadi zinatoka kesho lakini wao wanasambaziana kila leo.

Kama kijana anamtukana mwenzake kisa Manchester United au Arsenal huku ameusahau undugu wa kitaifa utasemaje huyo kijana yuko timamu?
Tusipoomba kwa nguvu mapema taifa litazidi kuzalisha vijana wa ajabu.
Umenikumbusha kuku wa kisasa!!
 
Bonde la Baraka

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Messages
4,612
Points
2,000
Bonde la Baraka

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2016
4,612 2,000
vijana wanauana kisa tako la mwanamke aliepita mbele yao na hata kumsalimia wakaogopa..

huyu anasema tako kubwa mwingine tako dogo mwishowe wanauana

wanabishana kuhusu man utd na arsenal hadi wanaumwa vichwa...
Usinikumbushe kituko hicho.
Niliwahi kumsimulia wife wangu alicheka sana.
Halafu wale waliouana ujue ni ndugu wa damu kabisa.
 
Niccolo Machiavelli

Niccolo Machiavelli

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2017
Messages
1,785
Points
2,000
Niccolo Machiavelli

Niccolo Machiavelli

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2017
1,785 2,000
Umeona vijana ni wa kulaumu....kwanini usilaumu serikali kutotengeneza ajira?
 
amayabhu

amayabhu

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Messages
500
Points
1,000
amayabhu

amayabhu

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2016
500 1,000
Halafu sio vijana tu hata wazee pia wamo, kila mtu anapambana na hali yake
 
Mr Cu

Mr Cu

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2016
Messages
1,321
Points
2,000
Mr Cu

Mr Cu

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2016
1,321 2,000
Hapa co kusema tuwaombee vijana,me nakataa kata kata......mifumo yetu ya elimu mibovu ndo inatuzalishia mambugila wengi wanaolitia aibu na hasara kubwa Taifa letu. Hatuna budi kufumua mifumo yetu ya elimu kuanzia vidudu mpaka vyuo vikuu ili kijana akitoka uko au akiwa anasoma uko awe na hamu ya kutaka kujifunza kitu au kuvumbua kitu co akili za kushea picha ili apate zawadi. "Mifumo mibovu ya uongozi na elimu uzalisha watu wa wabovu, vieleele na wapumbafu"
 
HB wa kigogo

HB wa kigogo

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2017
Messages
2,423
Points
2,000
HB wa kigogo

HB wa kigogo

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2017
2,423 2,000
Hakuna haja ya maombi hapo. Ni stress tu zamaisha. Ukiwa na stress hauwezi kufikiri vizuri.
Neno ufahamu lina maana kubwa kuliko ulivyo lieleza. Man u au arsenal, simba au yanga ni sehemu ya burudani tu. Kutukana ni tabia tu haina uhusiano na ufahamu kwa maana anaye tukana anajua alitendalo.
 
Bonde la Baraka

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Messages
4,612
Points
2,000
Bonde la Baraka

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2016
4,612 2,000
Umeona vijana ni wa kulaumu....kwanini usilaumu serikali kutotengeneza ajira?
Mimi huwa simwonei haya mtu wala serikali. Hata serikali ninaipa vipande vyake inapokosea.
Pitia posts zangu za nyuma au nyuzi zangu kama tatu nne hivi uone.
 
Rweye

Rweye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Messages
16,387
Points
2,000
Rweye

Rweye

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2011
16,387 2,000
Vijana wa sahivi ni ma expert katika kubet na kuimba tu. Mengine acha tuendelee tu kuwasoma
 
Ja60

Ja60

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2012
Messages
277
Points
250
Ja60

Ja60

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2012
277 250
Shida sana tumebakia kulalamika kwenye mitandao ya kijamii na kushinda vijiweni.
 
mgunga pori

mgunga pori

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2016
Messages
2,230
Points
2,000
mgunga pori

mgunga pori

JF-Expert Member
Joined Jul 23, 2016
2,230 2,000
Mkuu hili ni janga la kitaifa ku beti kumekuwa tatizo + jumlisha utandawaz cjui tunaelekea wapi
 
Nyendeke

Nyendeke

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2013
Messages
1,402
Points
2,000
Nyendeke

Nyendeke

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2013
1,402 2,000
Dunia ya Leo hutakiwi utumie akili nyingi lasivyo kila siku iendayo kwa Mungu utakuwa unaumia nafsi yako!!!
 
Forum statistics

Threads 1,403,168
Members 531,100
Posts 34,416,132
Top