Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,349
- 6,476
Barabarani kumekuwa na mashimo mengi ambayo yaweza kupelekea kuharibika kwa vyombo vya usafiri na kufanya wamiliki kuingia gharama za matengenezo. Sasa kodi ninalipa, kwenye mafuta kuna tozo ya barabarani, bado naongezewa gharama za kutengeneza gari kwa namna isiyokuwa ya moja kwa moja kwa sababu ya barabara kuwa na mashimo; hivi huu ndio wajibu wa serikali?