Vigezo gani hutumika kumuita mtu Mtakatifu?

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,494
Reaction score
12,465
1.Je binadamu ana mamlaka ya kumtunuku utakatifu binadamu mwenzake?

2. Vigezo gani huzingatiwa mpaka mtu apewe utakatifu?
3. Utakatifu wa mwanadamu unapimwaje?

4. Endapo mtu anatunukiwa utakatifu na binadamu wenzake halafu kumbe mtu huyo ni chukizo mbele za Mungu hapa inakuaje?
 
1.Je binadamu ana uwezo wa kumtunuku utakatifu binadamu mwenzake?

2.vigezo gani huzingatiwa mpaka mtu apewe utakatifu?
3.Utakatifu wa mwanadamu unapimwaje?

4.endapo mtu anatunukiwa utakatifu na binadamu wenzake halafu kumbe mtu huyo ni chukizo mbele za Mungu hapa inakuaje?
Unasumbuka na nini hapo?
Walioleta dini walitaka watutawale vizuri wewe!!
 
Ni somo pana mnoo, Kama sio mkatoliki huwezi kuelewa wala kuamini.

Ushauri: Kama sio mkatoliki haikusaidii maana huto kaa uelewe.
mi ni mkatoliki mkuu,sema ujana ulinitenga na kanisa for sometime hii elimu ilinipita pembeni.
 
Ntajibu kwa hatua swali lako Kama lilivyo na vipengele.

1. Binadamu Hana uwezo wa kumtunuku mwenzake utakatifu.

Maelezo.
Kanisa katika kuhakikisha kuwa jamii inakua sehemu bora zaidi basi ikafaa kuona namna gani watu wanaweza kupata mifano hai kutoka kwa watu walioishi duniani. Ndio, utaona kuwa tunaimizwa wakatoliki kuwapa watoto au jumuiya zetu majina ya watakatifu ili kuiga walau mfano wa hawa watakatifu.

Kuhusu kumtunuku, sio papa au MTU anatunuku utakatifu, kuna proces zaidi ya Mia zinazopitiwa ilikufikia pale ndio utaona kuna watakatifu wameishi miaka 200 iliopita Leo ndio wanatajwa watakatifu.

Mkuu kwa nini ulitega kanisani? Hiki kipengele kinatosha kuelezwa na kurasa 10000.
 
Swali juu ya Maswali??😳

Kama Binadamu hana uwezo wa Kumtunuku Mwenzake Utakatifu...how come wakati Binadamu huyo huyo kampa mwingine hadhi ya Umungu... Maana hapo Mwanzo Binadamu aliumba Mbungu... Biblia zenu zinaeleza vizuri tu ukisoma hadithi za Mussa
 
Rejea ushauri niliotoa kwa muanzisha Uzi.

Kama sio mkatoliki huwezi kuelewa, kuamini na haitokusaidia hata ukibisha.
 
Kigezo cha kuwa Mtakatifu ni kuwa Mtumishi wa Mungu katika kanisa la RC..
 
Rejea ushauri niliotoa kwa muanzisha Uzi.

Kama sio mkatoliki huwezi kuelewa, kuamini na haitokusaidia hata ukibisha.
Ukatoliki unaamini sanamu ya Yesu na Bikira Maria ni ngumu sana kufuata hiyo dini ya Nchi Vatican na Italy
 
Ni somo pana mnoo, Kama sio mkatoliki huwezi kuelewa wala kuamini.

Ushauri: Kama sio mkatoliki haikusaidii maana huto kaa uelewe.
Kaka wewe mueleweshe tu kama unajua sababu huu ndio wakati wake kutokana na tukio lililojiri hivi karibuni.

Kadhalika mdau ameuliza maswali ya maingi sana na yanatija sana kimustakabali.

Ukimjibu hayo maswali na mimi nitatoa faida katika upande wa pili wa shilingi...
 
Ntajibu kwa hatua swali lako Kama lilivyo na vipengele.

1. Binadamu Hana uwezo wa kumtunuku mwenzake utakatifu.

Maelezo.
Kanisa katika kuhakikisha kuwa jamii inakua sehemu bora zaidi basi ikafaa kuona namna gani watu wanaweza kupata mifano hai kutoka kwa watu walioishi duniani. Ndio, utaona kuwa tunaimizwa wakatoliki kuwapa watoto au jumuiya zetu majina ya watakatifu ili kuiga walau mfano wa hawa watakatifu.

Kuhusu kumtunuku, sio papa au MTU anatunuku utakatifu, kuna proces zaidi ya Mia zinazopitiwa ilikufikia pale ndio utaona kuna watakatifu wameishi miaka 200 iliopita Leo ndio wanatajwa watakatifu.

Mkuu kwa nini ulitega kanisani? Hiki kipengele kinatosha kuelezwa na kurasa 10000.
Kwetu somo kama hili au mfano wake ni rahisi sana wala halihitaji muda mrefu.Nitawapa darasa ikibidi.
 
Ukatoliki unaamini sanamu ya Yesu na Bikira Maria ni ngumu sana kufuata hiyo dini ya Nchi Vatican na Italy

Wewe mbona pia unaamini sanamu?Hii sura kwenye Avatar yako ni ya kazi gani?Je wewe huna picha hata ya baba,mama,mke au watoto umehifadhi?Kama ndivyo ni za nini?Hizo nazo ni sanamu.Sanamu sio kitu kibaya.Kipo kwa ajili ya kuwakilisha kitu fulani.Binadamu hawezi kujifunza bila vielelezo vinavyoweza kutambuliwa na mifumo ya fahamu.Tuwe tunajaribu hata sisi ku-reason hata vitu vya kawaida tu.
Kama sanamu ni kitu cha ovyo nenda kachome moto picha ya Magufuli hadharani au kaingushe ile Askari Monument pale Posta.Kwani ile nayo wameiweka Wakatoliki?
 
Bonge la Mchemsho.... thats why Dini yenu ndio ovyo kuliko zote... na yenyewe ndio inaamua na sio maandiko thats why mnakula nguluwe na masanamu chungu nzima how come maandiko yakataze and wewe usiye na mamlaka yeyote ya maamuzi kama mnavyomtukuza mungu wenu na Master wenu Yesu... alipoishi Duniani hakuyafanya hata moja yenu... The Biblia imekataza haswa kuyatumikia masanamu na kuyachonga pia nyie ndio nguzo yenu kuu hayo yaliyokatazwa... Katolik yeyote hana uwezo wa kuambiana ukweli hukusu dini kwani ilishawekwa Sheria za kisiasa na dini za mungu jua yaani papa ndio anaamua chochote mkililia muwe mnakula kungulu basi akiamua yeye ndio inakuwa hivyo vifungu vya bible vinabadilishwa faster inakuwa halal...

Mifano yako hata mtto hawezi itumia... ati huwezi elewa bila mifano wewe ni mhindu? au Buddha? na kwanza hamna utofauti... ndio maana unamuingiza Magufuli bila sababu ila kwa Katoliki hamchelewi kumuita Mtakatifu... Waisrael walijitengenezea hayo masanamu wakatupwa na kufa kama historia inavyosema... Yaani Unaumba and then unaabudu...
 
Sawa mkuu kwa yote uliyojibu.Mimi nakushauri tu kuwa kama wewe umekubali kuwa mdau wa jukwaa hili(Great Thinkers) basi uzidi kutafuta ukweli hata kwa mambo unayoyajua.Usiridhike na unachokijua kamwe.Ukweli ni kitu kipana sana.Kanisa Katoliki ni Nuru ya Ulimwengu.
 
Kaka wewe mueleweshe tu kama unajua sababu huu ndio wakati wake kutokana na tukio lililojiri hivi karibuni.

Kadhalika mdau ameuliza maswali ya maingi sana na yanatija sana kimustakabali.

Ukimjibu hayo maswali na mimi nitatoa faida katika upande wa pili wa shilingi...
Ilo swali mkuu huwezi kamwe kujibu hapa, sababu.
1. Nirefu mnoo
2. Wakatoliki pekee ndio wanaamini kwaivo nikisema kitu hapa italeta mjadala usio na maana.
3. Usahihi wa hili jambo kwa kanisa anatakiwa kasisi ndio aeleze ili kuepuka kupotosha( order)
4. Hata nikieleza hutoelewa maana kuna vitu ni vya dini mnoo.
5. Kama sio mkatoliki itakupotezea muda maana hutoamini zaidi utatuonesha umahiri wako wa kujenga hoja dhidi ya Kanisa moja takatifu katoliki la Mitume.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom