Nauliza tu, hivi Benny pol anailipa familia ya Remmy Ongala???


M

Mangi flani hivi

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2016
Messages
2,033
Likes
3,007
Points
280
Age
34
M

Mangi flani hivi

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2016
2,033 3,007 280
Tunajua sasa hivi kuna wimbi kubwa la kufunguliana mikesi ya madai kwa watu maarufu.

Na kwa miaka kadhaa sasa namuona bwana mdogo Ben Pol kila akipanda kwenye jukwaa la fiesta lazima aimbe wimbo wa marehemu Remy wa narudi nyumbani. Wimbo huu umekuwa maarufu sana na unampa milage kubwa kuliko hata nyimbo zake.

Kila akiimba wabunge wote waliopo Dodoma wanaopenda starehe lazima wapande jukwaani. Pamoja na mapato anayolipwa na clouds lakin pia anapata pesa za papo kwa papo za kutosha.

Hivi Ben, unawalipa familia ya remy au unasubiri ufunguliwe mikesi??
 

Forum statistics

Threads 1,250,932
Members 481,523
Posts 29,751,211