muzi
JF-Expert Member
- Jun 17, 2016
- 1,048
- 1,479
Hii idara inashughulika na utoaji wa leseni bila kutoa hongo hakuna msaada wowote. Watu wanaotafuta leseni mpya au wanotaka ku-renew leseni mpya wamekuwa wakihangaisha wateja kwa muda mrefu. Usipotoa Tsh 10K hadi 20K unapigwa danadana nyingi sana. Kuna mtu amekwenda kuRENEW leseni yake akaambiwa aje baada ya ya THREE WEEK. Kipindi cha cha nyumba renew ya leseni maximu three DAYS ila sahivi Moshi imekuwa DEAL. Baada ya kurudi baada ya muda huo anaambiwa hakuna material ya kuprint leseni, mwingine anaambiwa material zimekuja lakini zingine, mara material ya lamination hazipo mpaka tuombe. Yaani wamekuwa kero kero jamani, lakini ukitoa hongo unaambiwa njoo baadae au kesho uchukue leseni yako.
Meneja wa TRA Moshi wateja wanasumbuliwa sana kwenye hiyo idara, ukizubaa tutafikisha hizi salamu kwa mtumbuaji wa majibu na wewe hutasalimika. Kwa zama hizi za serikali aisee jomba tusichekeane.
Meneja wa TRA Moshi wateja wanasumbuliwa sana kwenye hiyo idara, ukizubaa tutafikisha hizi salamu kwa mtumbuaji wa majibu na wewe hutasalimika. Kwa zama hizi za serikali aisee jomba tusichekeane.