Pwani: Polisi wakamata watu wawili kwa kukutwa na mali za wizi, wakataa Misemo ya Wahenga

real G

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Messages
5,257
Likes
5,104
Points
280
Age
43
real G

real G

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2013
5,257 5,104 280
Polisi wamewakamata wakazi wawili mkoani humo Dorith Urassa na Filbert Lymo kwa kukutwa na mali za wizi, pia wapo wengine wawili wakazi Kimara jijini Dar wanatafutwa kwa tuhuma za wiziKamanda wa polisi mkoani humo Jonathan Shana alisema walikuta nyumbani kwa bwana Lymo kuna mali nyingi sana za wizi ikiwamo pikipiki 3, mota kusukuma maji, radio ya Sonny, deki ya MPG4, brenda chupa za pombe aina ya Grants, TV za flat screen, radio ya gari, jenereta mbili na projekta moja, king'amuzi na mashine moja ya EFD, filimbi ya polisi, koti la mvua la polisi na JWTZ, bia kreti 7 na viti pamoja vitu vingine

Kamanda wa polisi amewatumia ujumbe wahalifu kuwa anakataa misemo ya wahenga ya 'Za mwizi ni arobaini', polisi watakukamata kabla ya arobaini yako haijafika

Pia ameukataa msemo wa 'Aliye juu mngoje chini' na kusema ukiwa unaiba hata ukiwa wapi watakufuata hukohuko

Chanzo: Mwananchi
 
kidadari

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Messages
3,829
Likes
2,514
Points
280
kidadari

kidadari

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2012
3,829 2,514 280

kwan háwana uewezo wa kumiliki hivyo vitu??
 
Bishop Hiluka

Bishop Hiluka

Verified Member
Joined
Aug 12, 2011
Messages
5,150
Likes
2,592
Points
280
Bishop Hiluka

Bishop Hiluka

Verified Member
Joined Aug 12, 2011
5,150 2,592 280
;) :) :D o_O :D o_O :) Hmm!... Wahalifu wanakataa misemo ya wahenga ya 'za mwizi ni arobaini'!...
 
Membejr

Membejr

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2017
Messages
1,871
Likes
1,394
Points
280
Membejr

Membejr

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2017
1,871 1,394 280
Polisi wamewakamata wakazi wawili mkoani humo Dorith Urassa na Filbert Lymo kwa kukutwa na mali za wizi, pia wapo wengine wawili wakazi Kimara jijini Dar wanatafutwa kwa tuhuma za wiziKamanda wa polisi mkoani humo Jonathan Shana alisema walikuta nyumbani kwa bwana Lymo kuna mali nyingi sana za wizi ikiwamo pikipiki 3, mota kusukuma maji, radio ya Sonny, deki ya MPG4, brenda chupa za pombe aina ya Grants, TV za flat screen, radio ya gari, jenereta mbili na projekta moja, king'amuzi na mashine moja ya EFD, filimbi ya polisi, koti la mvua la polisi na JWTZ, bia kreti 7 na viti pamoja vitu vingine

Kamanda wa polisi amewatumia ujumbe wahalifu kuwa anakataa misemo ya wahenga ya 'Za mwizi ni arobaini', polisi watakukamata kabla ya arobaini yako haijafika

Pia ameukataa msemo wa 'Aliye juu mngoje chini' na kusema ukiwa unaiba hata ukiwa wapi watakufuata hukohuko

Chanzo: Mwananchi
Pwani kubwa mkuu! Ina takribani wilaya 8 sasa cjui ww unaisemea ipi?
 
kimbendengu

kimbendengu

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Messages
2,593
Likes
1,365
Points
280
kimbendengu

kimbendengu

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2013
2,593 1,365 280
au kibiti
 
Forum statistics

Threads 1,237,306
Members 475,501
Posts 29,283,973