Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nakumbuka utawala wa Rais Mkapa utawala wa TANESCO tulikodi kutoka Afrika ya Kusini. Mashirika mengi ya umma yalikufa kwasababu management au utawala ulishindwa kufanya vizuri. Viwanda vingi...
0 Reactions
1 Replies
816 Views
Mzuqa sana wanajamvi! Sauti yake ilikuwa nzito Na ya kuvutia hasa baada wa hule wimbo iconic wa chombeza time ukianza wa tarumbeta wa Kenny G. Alikuwa akimsifu Sana mchumba wake Sara Sadiq...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
habari wanajamvi Jf niende kwenye mada moja kwa moja kuna habari ambazo nazisikia(sina uhakika) kuhusu kutumia mita mpya kwamba ikiwa mpya ili usiwekwe kwenye list ya wanaotumia umeme mwingi na...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Na Salum Moshi Jr. Naratibu mikakati ya kujenga Uchumi wa kutatua kero za umma kwenye Taasisi zake ndani ya Kata nzima.kupitia Msimu huu wa korosho ulete Mabadiliko chanya ya MAENDELEO yetu Kata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Siyo Siri tena na nadhani sasa kuna ' Fukuto ' kubwa kabisa linalozidisha ' bifu ' kali kati ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda na Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Wanabodi, Mwana JF, Sanctus Mtsimbe, ameanzisha kituo cha TV iitwayo JTV na itajikita kuonyesha Bongo Movies, na itaonekana kupitia king'amuzi cha Star TV ambapo Rais mstaafu, Jakaya...
3 Reactions
34 Replies
5K Views
Mimi nina swali dogo tu, mbona sijaona waislamu wa Tanzania na Africa kwa ujumla wakilaani haya mashambulio kwa watu weusi waislamu wenzao huko Somalia ila hupaza shingo na sauti kuhusu...
10 Reactions
45 Replies
5K Views
habar zenu wana jf. mie sio mzofu sana katika hili jikwaa. nimekua nikiona post za wenzangu zikiwa na nakshi za aina mbali mbali tofauti na post zangu. kwa hiyo ningependa kujua 1. Codes...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari zenu wanajanvi. Leo nilikua na Highlight matukio kadhaa niliyowahi kupitia katika halakati za maisha. Nimeshawahi kukopeshwa na watu makauzu wanaujua kudai kwa nguvu tena bila kujali...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tokea nizaliwe sijawahi kuona aina ya udhaifu ulioonyeshwa na wenye dhamana zao hasa za Kiusalama na Kiupelelezi kama juzi hapo hao wenye dhamana kwa kuonyesha kabisa uwezo wao mdogo wa Kiutendaji...
11 Reactions
30 Replies
3K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Sisi kama watanzania bado tunamkumbuka sana huyu mzee francis maige au mzee ngosha mchoraji wetu wa nembo ya...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Tumshukuru Mungu kwa kutujalia kuwa hai mpaka siku ya Leo na tumuombe atupe uzima tufike mwaka 2018 na tutimize malengo yetu ya Mwaka huo hata kama hatukuyatimiza 2017. Binafisi kwa Mwaka 2018...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Zaidi ya watu 5000 wamekusanyika na kupigwa picha wakiwa uchi in the name of art and diversity. Kweli dunia iko ukingoni..
1 Reactions
45 Replies
44K Views
Wana JamiiForums (Wanabodi) habari zenu, Nimekutana na taarifa hizi za kusikitisha kuhusu kifo cha nguli na muasisi wa mchezo wa mieleka hapa nchini, Mzee Samson Mabula, maarufu kama 'Power...
0 Reactions
0 Replies
51 Views
Habari Wakuu!!! Jamani sio utafiti rasmi Bali ni maoni binafsi: Katika dunia tuliyopo fedha ndio jawabu la Kila Hitaji, ukiwa popote duniani hapa utahitaji kutumia fedha, unaweza kubadilishiwa...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Sifa njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (SwallaAllaahu 'alayhi wa aalihi wasallam) na Swahaba zake(Radhiya Allaahu...
16 Reactions
137 Replies
18K Views
Wakuu heshima kwenu. Katika harakati za kimaisha nilipata kaeneo maeneo ya CHANIKA sehemu inaitwa ZINGIZIWA . Nilipelekwa mara ya kwanza na nikaoneshwa kuwa eeneo liko safi kabisa na ni eneo...
3 Reactions
105 Replies
11K Views
Kudai ng'ombe nyingi kwa ajili ya mwali mweupe kwa wale ndugu zetu wasukuma ni ubaguz wa rangi. Mwanaume kusema hupendi wadada weusi ni ubaguz wa rangi. Mdada kuchukia wanaume weusi ni ubaguz wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mzuqa wanajamvi. Yani hili wazo limenijia faster. Huyu mtu Dokta Shika Ni wakumchangamkia mapema Yani Ni mtaji bonge la asset. Naandaa script ya movie itakoyoitwa the return of Dr Shika. Yani...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…