deni
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 255
- 191
habar zenu wana jf. mie sio mzofu sana katika hili jikwaa. nimekua nikiona post za wenzangu zikiwa na nakshi za aina mbali mbali tofauti na post zangu. kwa hiyo ningependa kujua
1. Codes zinazotumika kuedit maandish kama kubadili rang, ku-underline, kubold n.k
2. Codes zinazotumika ku andika username ya mwana jf kwenye post na lile jina linakua linautofaut na maandish mengine..
3. Codes za kuweka alama mbali mbali kama zinazoashiria kicheko, mshangao n.k kwa mfano mie najua moja hii apa :typing: ambayo unaiweka kwa kuandika :typing/: bila slash.
Natanguliza shukrani kwa mwitikio wenu.