Kijana Mwaka 2018 umepanga kufanya nini?

wanaojulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2017
Posts
576
Reaction score
902
Tumshukuru Mungu kwa kutujalia kuwa hai mpaka siku ya Leo na tumuombe atupe uzima tufike mwaka 2018 na tutimize malengo yetu ya Mwaka huo hata kama hatukuyatimiza 2017.

Binafisi kwa Mwaka 2018 nimepanga kufanya jambo moja muhimu sana na mambo mengine madogo madogo ya kunipatia kipato kama nitakuwa hai, jambo lenyewe ni kujenga nyumba kwenye kiwanja changu hata chumba na sebule ili kuokoa pesa nayolipa kodi kwa sasa nadhani nikifakisha hilo pesa hiyo itaweza kunisaidia kwenye maisha yangu pia familia yangu utakuwa katika Uhuru na Furaha zaidi.

Najua vijana tuna mipango mingi wengine kusoma, biashara, kuchapa kazi, n.k. je wewe kijana mwezangu ipi mipango yako ya Mwaka 2018 naomba tushirikishe.
 
1. Kupunguza uzinzi na kua na wanawake angalau wawili permanent.

2. Kujiendeleza kielimu ngazi za juu nje ya nchi.

3. Kutafta mwanamke mmoja mwenye akili nimpe mimba anizalie mtoto mmoja.

4. Kupunguza starehe za ajabu ajabu.

5. Kubadilia kazi/mwajiri na kupanda cheo.
 
Uko vizuri kaka
 
Tumshukuru Mungu kwa kutujalia kuwa hai mpaka siku ya Leo na tumuombe atupe uzima tufike mwaka 2018 na tutimize malengo yetu ya Mwaka huo hata kama hatukuyatimiza 2017.

Binafisi kwa Mwaka 2018 nimepanga kufanya jambo moja muhimu sana na mambo mengine madogo madogo ya kunipatia kipato kama nitakuwa hai, jambo lenyewe ni kujenga nyumba kwenye kiwanja changu hata chumba na sebule ili kuokoa pesa nayolipa kodi kwa sasa nadhani nikifakisha hilo pesa hiyo itaweza kunisaidia kwenye maisha yangu pia familia yangu utakuwa katika Uhuru na Furaha zaidi.

Najua vijana tuna mipango mingi wengine kusoma, biashara, kuchapa kazi, n.k. je wewe kijana mwezangu ipi mipango yako ya Mwaka 2018 naomba tushirikishe.
2017 Yenyewe haisomeki
 
2017 haijaisha unawaza 2018??

tuongelee goals za 2017 je zimetimia??
 
Back
Top Bottom