Namna ya kutatua kero za zahanati zetu vijijini


B

Babeshi Mwamba

Senior Member
Joined
Jan 7, 2013
Messages
185
Likes
11
Points
35
B

Babeshi Mwamba

Senior Member
Joined Jan 7, 2013
185 11 35
Na Salum Moshi Jr.

Naratibu mikakati ya kujenga Uchumi wa kutatua kero za umma kwenye Taasisi zake ndani ya Kata nzima.kupitia Msimu huu wa korosho ulete Mabadiliko chanya ya MAENDELEO yetu Kata ya Nyundo

Mfano.
1.Afya
Naandaa Mkutano wa hamasa ya Uchangiaji wa fedha kwa ajili ya ukarabati wa Zahanati yetu,vifaa vinavyohitajika na michanganuo ya gharama zake unawahamasisha Wananchi wote wanaohudumiwa na Zahanati hiyo pia ikiwemo Wadau mbalimbali wa MAENDELEO nitawaharika viongozi mbalimbali na kuwapa nafasi ya kuhimiza hamasa ya uchangishaji fedha na Mali kwa kutatua kero zikizopo.nitataarifu kupitia Wazazi kuelezea kero zao na umuhimu wa huduma zinazokisekana ambazo kwa Umoja wetu wa hali na Mali tunaweza kutatua wenyewe sio mpaka tungoje serikali.Vilevile nitampa nafasi Mzee maarufu kuhimiza hilo kuhamasisha kwa ujumla wake pia viongozi wa dini waalikwa nitawapa heshima zao kwa nafasi zao kupitia dini kuhimiza utatuzi wa kero.mpaka hapo utakuwepo mpango wa uchangishaji wa Harambee ukifanyika huku pia unaanza kwa nani mwenye Elfu kumi atatoa mchango unawapa nafasi wachangiaji na uwe unawasifu kwa majina kama Mwanaume utamuita KIDUME hicho SHABABI hilo linapigania MAENDELEO na kama ni mwanamke utamuimbia Mama huyo kiungo cha familia Hawa ndo wanaoujua uchungu wa Tatizo LA Uzazi wenyewe hao ndo wanaoguswa moja kwa moja na tatizo utasema embu jamani tuchangie hamuoni huruma kwa mama zetu haya twende.

Baadae unawashindanisha Wanaume kwa Wanawake.

Hapo Natumaini Matatizo madogomadogo kwa ushirikiano huu tutakuwa tumeyatatua.Nimefikilia hilo kulifanya karibuni.
Naombeni ushauri Wa nyongeza.natambua hii ndio kazi yangu nitajitahidi kuitenda japo kitofauti na mazoea naimani Mungu yupo nitafanikiwa.

WEO-NYUNDO.
Salum P. Moshi
0717594088
0786675550
0621544803
Maoni,Ushauri
 

Forum statistics

Threads 1,249,437
Members 480,660
Posts 29,698,368