Mwana JF Aanzisha TV Station ya Bongo Movies, J. Kikwete Kuwaunganisha na Ma Producers wa Hollywood.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,467
113,570
Wanabodi,

Mwana JF, Sanctus Mtsimbe, ameanzisha kituo cha TV iitwayo JTV na itajikita kuonyesha Bongo Movies, na itaonekana kupitia king'amuzi cha Star TV ambapo Rais mstaafu, Jakaya Kikwete, JK, atawasaidia Kuwaunganisha ma produces wa Bongo Movies na Ma Producers wa Hollywood ili movies za Bongo Movies, ziwe na viwango vya Hollywood.

Ahadi hiyo ya JK, imetolewa leo usiku huu kwenye uzinduzi wa Chanel ya JTV unaofanyika katika hotel ya Hyatt Kilimanjaro ambapo mgeni rasmi ni JK.

Hivi sasa JK ndio anahutubia, alikaribishwa na Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Prof. Mwakyembe.

JK alizindua rasmi JTV , baada ya uzinduzi alivamiwa na wasanii wa Bongo Movies kupiga nae selfies na kiukweli aliwavumilia sana kwa kuwakubalia as many as possible hadi MICHUZI alipookoa jahazi kwa kumnusuru. Miongoni mwa off the record za aliyoyasema JK off mic ni pamoja na kulitaja jina la top celebrity no.1 nchini Tanzania kwa sasa, Dr. Luis Shika!, watu wakashangilia sana.

Paskali.
 
Wanabodi,

Mwana JF, Sanctus Mtsimbe, ameanzisha kituo cha TV iitwayo JTV na itajikita kuonyesha Bongo Movies, na itaonekana kupitia king'amuzi cha Star TV ambapo Rais mstaafu, Jakaya Kikwete, JK, atawasaidia Kuwaunganisha ma produces wa Bongo Movies na Ma Producers wa Hollywood ili movies za Bongo Movies, ziwe na viwango vya Hollywood.

Ahadi hiyo ya JK, imetolewa leo usiku huu kwenye uzinduzi wa Chanel ya JTV unaofanyika katika hotel ya Hyatt Kilimanjaro ambapo mgeni rasmi ni JK.

Hivi sasa JK ndio anahutubia, alikaribishwa na Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Prof. Mwakyembe.

endelea kufuatilia

Paskali
USHINDANI NA SINEMA ZETU ZA AZAM TV NA JTV .KAZI KWENU WASANII
 
Back
Top Bottom