Je hii ni kweli kuhusu mita mpya za TANESCO?

Maxmizer

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
4,799
Reaction score
4,231
habari wanajamvi Jf
niende kwenye mada moja kwa moja kuna habari ambazo nazisikia(sina uhakika) kuhusu kutumia mita mpya kwamba ikiwa mpya ili usiwekwe kwenye list ya wanaotumia umeme mwingi na kuwekwa list ya tarrif 4(sina uhakika kama ndivyo inavyoandikwa kitaalamu) hivyo kupelekea kununua unit chache kwa pesa nyingi ni vizuri kufanya mambo haya

1. kununua umeme(units) usiozidi shilingi 10000 kwa mwezi

2. usisubiri umeme uishe ndo ununue mwingine(kwa wenye mita mpya)

3. matumizi yako yasizidi umeme wa shilingi 10000 kwa mwezi(nazungumzia mwanzoni kabisa unaponunua mita mpya)

wataalamu na wenye ufahamu naomba msaidie hapa
 
Hii Kali.
Iv Tanesco Wameshalipa Pesa Za IPTL 300 Billions?
 
Unatakiwa utumia kwa muda wa miezi mitatu na kwa mwezi matumizi yako yawe chini ya unit 75 ,ikiisha iyo miezi unaenda na kadi yako na kitambulisho . Kwa msaada zaidi nenda ofisini kwao au piga simu ya huduma kwa mteja
 
shukran mkuu
 
Ushuhuda mimi nimepitia hatu hizi nasasa nala bata umeme sh 100 per unit na elf 5 napata unit 40+ so maisha murua kabisaa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
habari wanajamvi Jf
niende kwenye mada moja kwa moja kuna habari ambazo nazisikia(sina uhakika) kuhusu kutumia mita mpya kwamba ikiwa mpya ili usiwekwe kwenye list ya wanaotumia umeme mwingi na kuwekwa list ya tarrif 4(sina uhakika kama ndivyo inavyoandikwa kitaalamu) hivyo kupelekea kununua unit chache kwa pesa nyingi ni vizuri kufanya mambo haya

1. kununua umeme(units) usiozidi shilingi 10000 kwa mwezi

2. usisubiri umeme uishe ndo ununue mwingine(kwa wenye mita mpya)

3. matumizi yako yasizidi umeme wa shilingi 10000 kwa mwezi(nazungumzia mwanzoni kabisa unaponunua mita mpya)

wataalamu na wenye ufahamu naomba msaidie hapa
Ni kweli kaka..
 
Watanzania bhana badala ya kulipa kodi halali wanafikiria jinsi ya kukwepa kodi
 
Kuhusu mita mpya remote yangu ilinigomea nusura nilale giza, niliripote mara nne, bila mafanikio. Nashukuru sana JF kwa msaada kwani nilipowapa taarifa, ni chapchap wameleta meta mpya nina raha, kupatwa na giza sasa ni ndoto. Ndio maana silali bila kuperuzi JF, Viva JF
 
Ushuhuda mimi nimepitia hatu hizi nasasa nala bata umeme sh 100 per unit na elf 5 napata unit 40+ so maisha murua kabisaa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu nieleweshe mimi nlipata mita mpya baada ya kupata zile unit zao 50 nikaambiwa mwisho wa mwezi nilipie elfu25 baada ya hapo nikapata unit 20.1 so hizo hazikunisaidia kufika mwezi mwingine
Baada ya hapo nikinunua wa elfu10 napata28.1 ina maana nina matumizi makubwa?
 
Back
Top Bottom