Waislamu wa Africa(Tanzania) mbona hamlaani mashambulio yatokeayo Somalia?

edwayne

JF-Expert Member
Apr 5, 2013
5,391
2,000
Mimi nina swali dogo tu, mbona sijaona waislamu wa Tanzania na Africa kwa ujumla wakilaani haya mashambulio kwa watu weusi waislamu wenzao huko Somalia ila hupaza shingo na sauti kuhusu yanayotokea Palestina na Burma. Mbona waislamu wa africa ni wanafiki sana mnasikitisha sana. Humu sijaona uzi kuhusu huzuni za Somalia ila za Palestina na wale wa Burma.
 
edwayne

JF-Expert Member
Apr 5, 2013
5,391
2,000
Huna lolote ndo maana hujui unacho kiongea, unataka waisilam wapaze sauti ili nani asikie?" waisilamu hatunazo makelele maana sii wendawazim wakupayuka hovyo, Zaidi yakuongea na mwenyezi mungu subhana uwata allah
Unaona aibu wewe lini ulilalamika kuhusu Sudan au somalia ila yakitokea mambo nje ya Africa unalalamika kama wale ndugu zako penda waafrika wenzako
 
edwayne

JF-Expert Member
Apr 5, 2013
5,391
2,000
tunalaani vitendo vya kigaidi (ukhawarij) tunaliongea hilo kila siku au ulitaka mpaka tuweke press conference ...uislam ni dini yenye kumvuta aliye nje aingie ndani na kumfanya aliye ndani asitoke
Lini ulilaani vitendo hivyo kuhusu somalia wewe
 
chamlungu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
321
500
Lini ulilaani vitendo hivyo kuhusu somalia wewe
Mtume (Saw) amesema pindi jambo baya linapofanywa, fanya yafuatayo kulirekebisha: lipiganie kwa nguvu, au likemee kwa sauti, au lichukie kutoka moyoni. Yeyote atakayetumia moja ya njia hizo yupo sahihi. Kwa hiyo lazima usikie sauti za kulaani kila tukio
 
Ghostx

Member
Oct 18, 2017
39
125
nadhani utakua unatumia jamii forums tu, au kama unatumia na mitandao mingine ya kijamii bas utakua una kusudio lako unalolitafuta......
 
Opyempye Nchee

JF-Expert Member
Oct 19, 2017
207
225
Husipende kuamini kitu husichokijua juu ya imani ya watu wengine ili kuepuka kuwa mjuvi wa mambo ikikupendeza jifunze /uliza/tafiti ili uwe mjuzi
 
edwayne

JF-Expert Member
Apr 5, 2013
5,391
2,000
nadhani utakua unatumia jamii forums tu, au kama unatumia na mitandao mingine ya kijamii bas utakua una kusudio lako unalolitafuta......
Natumia mitandao yote ya kijamii hakuna mnapokemea jambo la Somalia huo ni unafiki mkubwa wa waislamu wa Africa especially Tanzania humu JF mpaka uzi wa kuhusu Burma mlianzisha kulalamika ila waafrika wenzenu wakiuliwa mnajifanya hamuoni... acheni kujipendekeza kwa wengine wapendeni waafrika wenzenu kwanza
 
Sara

JF-Expert Member
Aug 3, 2014
1,051
2,000
Mimi nina swali dogo tu mbona sijaona waislamu wa Tanzania na Africa kwa ujumla wakilaani haya mashambulio kwa watu weusi waislamu wenzao huko Somalia ila hupaza shingo na sauti kuhusu yanayotokea palestina na Burma. .mbona waislamu wa africa ni wanafiki sana mnasikitisha sana. Humu sijaona uzi kuhusu huzini za Somalia ila za palestina na wale wa Burma
Dini za watu hizo mkuu, sisi wa Africa yetu matambiko hahhaha u kristo na u wislam mhhh !
 
mjingamimi

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
28,854
2,000
Mimi nina swali dogo tu mbona sijaona waislamu wa Tanzania na Africa kwa ujumla wakilaani haya mashambulio kwa watu weusi waislamu wenzao huko Somalia ila hupaza shingo na sauti kuhusu yanayotokea palestina na Burma. .mbona waislamu wa africa ni wanafiki sana mnasikitisha sana. Humu sijaona uzi kuhusu huzini za Somalia ila za palestina na wale wa Burma
Kwani Somalia wanakaa wa Islam peke Yao. Au wanaokufa ni wa Islam peke Yao? Hakuna wakristo Somalia?
 
Asclepius

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
697
1,000
d04bd512ec3697b601203d7939659e69.jpg
 
hata mimi

JF-Expert Member
Oct 17, 2017
701
500
Unaona aibu wewe lini ulilalamika kuhusu Sudan au somalia ila yakitokea mambo nje ya Africa unalalamika kama wale ndugu zako penda waafrika wenzako
Waislamu wote ni ndugu na kulaani sio mpaka watu waone ulivyolaani
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom