Nina kipaji kikubwa sana lakini kinapotea

Nina kipaji kikubwa sana lakini kinapotea

Its deja vu.....anyway nambie kama mabilioni ya Dr Shika yatakuja au la
 
Hi nina uwezo wa kugundua kitakachotokea kesho kugundua mambo mengi Kwa kutumia macho tu lakini sijui nitayatumia wapi.Nipeni ushauri kihekima.
ungana na Dr.shika mkafungue taasisi,mna mawazo yanayoendana
 
Back
Top Bottom