UNDENIABLE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 2,326
- 1,314
Of koz hapo mwanzo kidogo nauli poa sana. Lakini naona ghafla bin vuu nauli imepanda kwa average ya sh 5000 kwa kila route hasa zilizokua zinaanzia na sh 7000 na kuendelea.
Mimi nikiwa kati ya watumiaji wazuri wa uber naona sasa itabidi tu nianze kucheza na vibajaji.
Of koz sitawaacha maana still wao ni cheap zaidi kulinganisha na taxi za kawaida lakini naona bei imepanda sana. Ongezeko la zaidi ya sh 5000 kwa route bado ni kubwa usawa huu wa hapa kazi tu.
Uber rudisheni nauli ya zamani aiseee!