Elimu juu ya Maisha ya Jela/Mahabusu

Elimu juu ya Maisha ya Jela/Mahabusu

kimlas

Member
Joined
Oct 7, 2017
Posts
95
Reaction score
106
Ndugu zangu naomba tuelimishane juu ya kuwekwa jela..je una experience nini?
Je unalala pekeyako kwenye chumba chako?
Je unapewa nafasi ya kuoga na kufua nguo zako ?
Je chakula mnapewa kwa haki?
Hebu tupeane elimu kwa ujumla hasa maisha ya Jela na Mahabusu kwa Tanzania
 
Hivyo vyote hapo ulivyovitaja unapewa nafasi ya kujifanyia pia ni haki yako ya msingi, hizo za kufua, kuoga na chakula unapewa nafasi ila kila kitu ni kwa foleni maalumu!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Mzee umerudi. Karibu Sana.
Yule mwizi aliyeiba baiskeli. Mpaka ukaja kuomba Dua ya kumfanya aanguke na baiskeli. Mlimpata?
Duuu una kumbukumbu nanii alinitwanga ban ngoja ni lock thread zangu[emoji82] [emoji82] [emoji82] [emoji82] [emoji82]
 
Duuu una kumbukumbu nanii alinitwanga ban ngoja ni lock thread zangu[emoji82] [emoji82] [emoji82] [emoji82] [emoji82]
0f0e4ae20612cabf302e63188ac4d606.jpg

Ahaaa. Nimekosea ni piki piki. Sio baiskeli.
 
Mbn hakuna sehemu aliyoandika jera mkuu
Amesha edit Mkuu..
Mpaka heading alikuwa ameandika JERA.. (nafikiri Mods wamemsaidia)..
Kwenye contents ndio aliandika JERA mara 2 (amesharekebisha)
Mimi ndio wa kwanza kurespond kwa hii thread nikaliona hilo kosa lake.
 
Back
Top Bottom