Hatimaye Miss Tanzania Julitha Kibete aingia 20 bora ya Beauty With Purpose katika Miss World Sanya China

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,383
4,317
Tanzania.jpg

Kwa mara nyingine tena Miss Tanzania 2017 Julitha Kabete ameshindwa kuchomoza katika mashindano ya Miss World yaliyomalizika usiku wa leo huko Sanya China.

Hapo akiwa haamini aliposikia jina lake likitangaza kuwa mrembo wa dunia huku pembeni kulia kwake akiwa ni miss Kenya na kushoto miss Mexico
rs_1024x759-171118132455-1024-2017-miss-world-2.jpg



Na Taji limekwenda kwa Miss India Manisha
puerto-rico-b1d6e83f-a49e-4fe6-91a9-85ab6d50f6e2.jpg



Miss Kenya ameingia katika tano bora za miss world
View attachment 633485

Miss Tanzania hajafika mikono mitupu ameingia katika 20 bora ya Beauty With purpose.... Ni taasisi ndani ya miss World inayoshughulika na huduma za watoto dunia nzima.
View attachment 633484
 
Mbaya sana uyo bora angeenda KANTWE angeshida
Nadhani ni mzuri tu ndiyo maana ameingia katika 20 bora kwa kipengele cha Beauty With purpose na atakuwa na kazi Tanzania na nchi ya nchi kuhusu ustawi wa watoto
 
Alipatikanaje hapa nyumbani maani hatukusikia mashindano ya kumtafuta mwakilishi. Au aliteuliwa kwa nafasi maalumu?
 
Back
Top Bottom