Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jamaa anamiliki kampuni kweli na iko Urussi na hiyo ndo website ya kampuni pamoja na paspoti yake
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wahadhiri wa Chuo kikuu cha Mtakatifu Augustine tawi la Mtwara hawajalipwa mishahara yao kwa muda wa miezi minne sasa kwa kile kinachoelezwa mmiliki hana fedha kwa sasa.
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Wanazuoni wameshauri kubadilishwa kwa mfumo wa elimu ulio hivi sasa ili kuendana na sera ya Tanzania ya viwanda kwa kuwajengea uwezo zaidi wanafunzi walioko katika vyuo na shule mbalimbali hapa...
1 Reactions
0 Replies
665 Views
Wafanyabiashara wa soko la Manzese manispaa ya Morogoro wameandamana na kuvamia lililokuwa soko kuu la manispaa hiyo kushinikiza uongozi wa manispaa kuwafukuza baadhi ya wafanyabiashara...
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Nimejibibiwa hivyo huko mtandaoni Nimeenda kwa mawakala wao wanadai kadi zimewaishia nchi nzima Mpaka walete nyingine hivyo hawawezi kuuza visimbusi vyao mpaka siku kadi zitakapopatikana Swali jee...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna tatizo lilinipata ambalo mizizi yake ni kutokana na mfumo wa maisha ya sasa yaliyosababishwa na huyu ndugu yetu wa Chato. Kwanza kabisa Mimi naamini sana Mungu kwakuwa nilipitia malezi hayo...
11 Reactions
49 Replies
5K Views
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) imeokoa zaidi ya shilingi Bilioni 5 ambazo zingetumika kusafirisha wagonjwa nje ya nchi kufuata matibabu. Hayo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ikiwa ni siku ya na moja baada ya mlipuko wa bomu uliotokea Shule ya Msingi Kihinga mkoani Kagera, majeruhi wawili wamerejeshwa hospitali baada ya kupata tatizo la kuona. Watoto hao wawili ni...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Amani iwe kwenu! Kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia maandiko ya mheshimiwa zzk huko twitter na jinsi watu wanavyopokea maoni yake. Katika fuatilia kwangu posts zake na mapokeo ya watu nimegundua...
0 Reactions
2 Replies
846 Views
Habari ya jioni wanajamvi? Wale tuliokwisha kupumzika tayari, poleni kwa majukumu ya wakutwa nzima, wale ambao tungali bado na mihangaiko na mizunguko ya hapa na pale pia poleni na hongera kwa...
0 Reactions
2 Replies
786 Views
Kwa sasa hakuna mtu asiejua kwamba tatizo la ajira limekuwa kubwa mno, imefikia kipindi mpaka imekuwa mandatory mtu ujitolee bure kabisa bila kupata mshahara ili tu ujaribu bahati yako ya...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Hivi UKIMWI unaua kweli au kinachoua ni ile imani ya kuamini kwamba una UKIMWI? Mtu anapokuwa hana hofu yeyote unamkuta na furaha muda wote lakini punde tu akienda kupima na kuambiwa kwamba ana...
0 Reactions
0 Replies
824 Views
Wakati tukiwa tumebakiza siku chache tuumalize mwaka huu Je unaweza kutuambia Ni jambo gani au kitu gani ulichojifunza mwaka huuu Mimi nilichojifunza maisha yamekuwa magumu hali imekuwa mbayaaa
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari za mda huu wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyosema je kuna uhusiano gani wa biashara ya duka na matatizo ya akili au kisaikolojia..? Katika harakati za uchunguzi wangu nimegundua kuwa...
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Kipindi cha shilawadu kilitawaliwa na tangazo LA mfano wa mdudu aina ya KAA ,kwamba KAA wakiwa kwenye bakuli au chombo na wakiamua kupanda ili watoke kila anae panda anavutwa chini na wenzie na...
3 Reactions
53 Replies
10K Views
SERIKALI inatarajia mwakani, kuanza kutoa dawa za kujikinga na maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU), ikiwa ni mkakati za kuwazuia watu kutopata maradhi hayo. Dawa hiyo ni Truvada na utaratibu...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Wakuu heshima kwenu. Wakati tunakua, yaani kutoka kwenye utoto na kuwa watu wazima kuna mambo mengi sana tuliaminishwa, na mengine tuliamini kwa kadiri maisha yalivyokuwa yanaenda. Mengi...
4 Reactions
60 Replies
6K Views
Mwalimu wa somo la Mapishi katika shule ya Sekondari ya St. Charles High School mjini Maryland nchini Marekani amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kosa la kumtongoza na kumtumia picha za...
1 Reactions
43 Replies
8K Views
Mapato mengi sana ya serikali yanapotea katika ofisi za umma hasa malipo ya huduma mbalimbali zitolewazo mahakamani na taasisi mbalimbali za umma. Hebu ona hii:- 1. Mtu Y; anahitaji barua ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
KATIKA kukabiliana na ajali za barabarani, jeshi la polisi mkoani Pwani litatumia kifaa maalum kinachopima mwendokasi hadi majira ya usiku. Pia trafiki kubadilisha vituo ili kukabiliana na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom