Awamu ya tano imenipeleka kwa mganga wa kienyeji kwa mara ya kwanza

Ramea

Ramea

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Messages
1,359
Likes
1,359
Points
280
Ramea

Ramea

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2015
1,359 1,359 280
Kuna tatizo lilinipata ambalo mizizi yake ni kutokana na mfumo wa maisha ya sasa yaliyosababishwa na huyu ndugu yetu wa Chato.
Kwanza kabisa Mimi naamini sana Mungu kwakuwa nilipitia malezi hayo katika familia na baadae shule za seminari za kikatoliki na hata wenzangu nilosoma nao wengi sasa ni mapadre.

Mwezi uliopita nilipatwa na tatizo kubwa na miongoni mwa watu walionishauri na kunipa pole ni Mzee mmoja ambaye ni mteja wangu na ananiamini kama akipata huduma toka kwangu nikiwa kwa office.

Mzee huyu alinishauri tuangalie mbadala wa jambo husika kwa kuonana na Sangoma ambaye alifanikisha hata mambo yake binafsi, nilisita lakini baadae nikamkubalia.

Majira ya sa9 alasiri tuliambatana hadi kwa Fundi/mganga na mambo yalikuwa hivi;
Mganga alijifunika kitenge kichwani, akatoa chupa chenye vitu vyekundu ndani yake na kuanza kupandisha mapepo. Kisha akaanza kusema matatizo yangu kabla sijamweleza chochote, alipatia kwa 70% na maswali nilimpiga.

Badae akasema kwa tatizo langu lazima liambatane na kafara! Nilistuka na kuogopa kumbe alihitaji tu jogoo anayeanza kuwika, nikaona sio kesi atafutwe na kisha akamchinja na damu nikaikinga kwenye kile chupa alichokuja nacho mwanzo....akakata miguu ya kuku akanipa na ile damu akaniambia ile miguu niichimbie mahali fulani(ilinipasa niende usiku) kwani ni mbali na ninakoishi na si vema jamii ikiniona. Na ile chupa ya damu niipasue palepale nilipochimbia miguu nikiipiga kwenye jiwe.

Cha ajabu, maneno ambayo nilipaswa kuyasema wakati napasua chupa hicho ni ya Kimungu "Mwenyezi Mungu kama kweli upo, Tuma malaika wako watatue tatizo hili la (sitolitaja)" na aliniahidi ndani ya Siku 3 mambo yatakuwa Shwar ingawa Siku Tatu zimepita ila matumaini yapo japo kwa mbali.
SHIKAMOO BABA MAGUFULI... HUKU MTAANI VYUMA VIMEKAZA, LEGEZA KIDOGO.
 
habari ya hapa

habari ya hapa

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
12,296
Likes
7,477
Points
280
Age
31
habari ya hapa

habari ya hapa

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
12,296 7,477 280
Hahahaha waloenda kwa sangoma wala hawatangazagi

Sema unafurahisha ukumbi tu

Sangoma naye huwa anaomba Mungu, usitulazimishe kuamini utakavyo,
 
Ramea

Ramea

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Messages
1,359
Likes
1,359
Points
280
Ramea

Ramea

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2015
1,359 1,359 280
Hahahaha waloenda kwa sangoma wala hawatangazagi

Sema unafurahisha ukumbi tu

Sangoma naye huwa anaomba Mungu, usitulazimishe kuamini utakavyo,
Sijakulazimisha kuamini Mkuu,
 
NJOGHOMILE

NJOGHOMILE

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2017
Messages
562
Likes
1,692
Points
180
NJOGHOMILE

NJOGHOMILE

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2017
562 1,692 180
Hahahahahahahaaaaaa.

Kusubiri matokeo ndio ilipo shughuli aiseee
 
K

kamarah

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2016
Messages
532
Likes
676
Points
180
Age
30
K

kamarah

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2016
532 676 180
Pole mkuu kwa mkazo wa vyuma, binafsi nawaelewa sana wanaotumia vitabu katika kutatua hayo matatizo na wala hawahitaji vitu Kama hivyo, wao imezidi sana utasikia lete ubani makka na udi tu basi
 
Liwagu

Liwagu

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Messages
1,535
Likes
1,188
Points
280
Age
40
Liwagu

Liwagu

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2017
1,535 1,188 280
Pole mkuu, ilausirudie tena kwenda kwa hao waganga nikupoteza muda bilasababu, niwahuni tu.

Unaonasasa umempelekea jogoo, alafu ukaambulia kunyweshwa damu mbichi na miguu, then hakuna impact yoyote mbaka sasa.

Mwenzio hapo anasubiri mtu mwingine kamawewe aende then amuambie akalete mchele na nazi.

Keep working on things that seemed in clearly visible.
 
D

dutch2

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2017
Messages
1,025
Likes
938
Points
280
D

dutch2

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2017
1,025 938 280
miguu ya kuku hainaga nyama ndo maana akakupa uondoke nayo imani yako na mungu wako zitakutatulia matatizo yako
 
Ushirombo

Ushirombo

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Messages
2,750
Likes
1,355
Points
280
Ushirombo

Ushirombo

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2013
2,750 1,355 280
Kuna tatizo lilinipata ambalo mizizi yake ni kutokana na mfumo wa maisha ya sasa yaliyosababishwa na huyu ndugu yetu wa Chato.
Kwanza kabisa Mimi naamini sana Mungu kwakuwa nilipitia malezi hayo katika familia na baadae shule za seminari za kikatoliki na hata wenzangu nilosoma nao wengi sasa ni mapadre.

Mwezi uliopita nilipatwa na tatizo kubwa na miongoni mwa watu walionishauri na kunipa pole ni Mzee mmoja ambaye ni mteja wangu na ananiamini kama akipata huduma toka kwangu nikiwa kwa office.

Mzee huyu alinishauri tuangalie mbadala wa jambo husika kwa kuonana na Sangoma ambaye alifanikisha hata mambo yake binafsi, nilisita lakini baadae nikamkubalia.

Majira ya sa9 alasiri tuliambatana hadi kwa Fundi/mganga na mambo yalikuwa hivi;
Mganga alijifunika kitenge kichwani, akatoa chupa chenye vitu vyekundu ndani yake na kuanza kupandisha mapepo. Kisha akaanza kusema matatizo yangu kabla sijamweleza chochote, alipatia kwa 70% na maswali nilimpiga.

Badae akasema kwa tatizo langu lazima liambatane na kafara! Nilistuka na kuogopa kumbe alihitaji tu jogoo anayeanza kuwika, nikaona sio kesi atafutwe na kisha akamchinja na damu nikaikinga kwenye kile chupa alichokuja nacho mwanzo....akakata miguu ya kuku akanipa na ile damu akaniambia ile miguu niichimbie mahali fulani(ilinipasa niende usiku) kwani ni mbali na ninakoishi na si vema jamii ikiniona. Na ile chupa ya damu niipasue palepale nilipochimbia miguu nikiipiga kwenye jiwe.

Cha ajabu, maneno ambayo nilipaswa kuyasema wakati napasua chupa hicho ni ya Kimungu "Mwenyezi Mungu kama kweli upo, Tuma malaika wako watatue tatizo hili la (sitolitaja)" na aliniahidi ndani ya Siku 3 mambo yatakuwa Shwar ingawa Siku Tatu zimepita ila matumaini yapo japo kwa mbali.
SHIKAMOO BABA MAGUFULI... HUKU MTAANI VYUMA VIMEKAZA, LEGEZA KIDOGO.
Pole bro, mtumaini Mungu to him nothing is impossible
 
sergio 5

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Messages
8,786
Likes
9,211
Points
280
sergio 5

sergio 5

JF-Expert Member
Joined May 22, 2017
8,786 9,211 280
Pale ambapo mchawi anajitetea
 
I

ikigijo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Messages
586
Likes
544
Points
180
I

ikigijo

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2017
586 544 180
Kuna tatizo lilinipata ambalo mizizi yake ni kutokana na mfumo wa maisha ya sasa yaliyosababishwa na huyu ndugu yetu wa Chato.
Kwanza kabisa Mimi naamini sana Mungu kwakuwa nilipitia malezi hayo katika familia na baadae shule za seminari za kikatoliki na hata wenzangu nilosoma nao wengi sasa ni mapadre.

Mwezi uliopita nilipatwa na tatizo kubwa na miongoni mwa watu walionishauri na kunipa pole ni Mzee mmoja ambaye ni mteja wangu na ananiamini kama akipata huduma toka kwangu nikiwa kwa office.

Mzee huyu alinishauri tuangalie mbadala wa jambo husika kwa kuonana na Sangoma ambaye alifanikisha hata mambo yake binafsi, nilisita lakini baadae nikamkubalia.

Majira ya sa9 alasiri tuliambatana hadi kwa Fundi/mganga na mambo yalikuwa hivi;
Mganga alijifunika kitenge kichwani, akatoa chupa chenye vitu vyekundu ndani yake na kuanza kupandisha mapepo. Kisha akaanza kusema matatizo yangu kabla sijamweleza chochote, alipatia kwa 70% na maswali nilimpiga.

Badae akasema kwa tatizo langu lazima liambatane na kafara! Nilistuka na kuogopa kumbe alihitaji tu jogoo anayeanza kuwika, nikaona sio kesi atafutwe na kisha akamchinja na damu nikaikinga kwenye kile chupa alichokuja nacho mwanzo....akakata miguu ya kuku akanipa na ile damu akaniambia ile miguu niichimbie mahali fulani(ilinipasa niende usiku) kwani ni mbali na ninakoishi na si vema jamii ikiniona. Na ile chupa ya damu niipasue palepale nilipochimbia miguu nikiipiga kwenye jiwe.

Cha ajabu, maneno ambayo nilipaswa kuyasema wakati napasua chupa hicho ni ya Kimungu "Mwenyezi Mungu kama kweli upo, Tuma malaika wako watatue tatizo hili la (sitolitaja)" na aliniahidi ndani ya Siku 3 mambo yatakuwa Shwar ingawa Siku Tatu zimepita ila matumaini yapo japo kwa mbali.
SHIKAMOO BABA MAGUFULI... HUKU MTAANI VYUMA VIMEKAZA, LEGEZA KIDOGO.
HONGERA KWA KUANZISHA tHREAD KAKA....
Hivi kuongea kooote umeshindwa kueleza sababu ya Tatizo ambalo kusoma kote seminari umeshindwa kujua namna ya kuliwakilisha hapa,kwani ni lazima utaje sehemu husika

Tatizo lenyewe ni la Kikazi? Biashara? Au Kisiasa? Maanake umehusisha Uongozi wa siasa wa sasa Ahsante....
 
Ramea

Ramea

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Messages
1,359
Likes
1,359
Points
280
Ramea

Ramea

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2015
1,359 1,359 280
HONGERA KWA KUANZISHA tHREAD KAKA....
Hivi kuongea kooote umeshindwa kueleza sababu ya Tatizo ambalo kusoma kote seminari umeshindwa kujua namna ya kuliwakilisha hapa,kwani ni lazima utaje sehemu husika

Tatizo lenyewe ni la Kikazi? Biashara? Au Kisiasa? Maanake umehusisha Uongozi wa siasa wa sasa Ahsante....
Kila mmoja akielezea matatizo yake humu tutakimbiana nadhani hata wewe una matatizo lakini husemi. Si vema kuliweka tatizo langu humu kwa nionavyo Mimi. Kwanza tunatumia fake ID na Avatar kwa sababu maalum, wapo ambao watanifahamu kuwa mm ni nan endapo nitaweka wazi kila kitu hapa.
 
Forum statistics

Threads 1,236,152
Members 475,007
Posts 29,248,267