Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naomba kujua hili swala liliishia Wapi nakumbuka baada ya uchaguzi mkuu 2015 tulifungiwa misaada ya MCC ambayo wachambuzi mbalimbali walisema bila hiyo misaada tutapitia kipindi kigumu cha uchumi...
0 Reactions
3 Replies
836 Views
Wanajamvi tumekuwa na nyuzi mbalimbali maalum, ambazo zimekuwa msaada mkubwa sana kwetu Jamiiforums ni mtandao unaoheshimika sana, ni sehemu ya jamii(wapiga kura) ikiwa na mchanganyiko wa watu wa...
8 Reactions
133 Replies
8K Views
Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Paul Makonda amesema hivi karibuni ataandaa tamasha la kuwakaribisha wanafunzi wapya wa mwaka wa kwanza wa vyuo vikuu jijini Dsm. Source TBC habari!!
3 Reactions
101 Replies
12K Views
Hawa jamaa huwa wako siriasi sana linapokuja suala la usalama wao na ndio maana kila askari ana bastola yake kiunoni. Na ukiwa mkaidi ndo yanakukuta kama yaliyomkuta huyu dogo hapa Kabla ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Salaam wakuu, Binafsi huwa najiuliza hivi katika kufanya maamuzi serikali huwa ina angalia faida na hasara? Huwa inakuwa wapi wakati watu wanajenga nyumbaaa sehemu ambazo hazistahili?wanawaacha...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Halotel baada ya kusifiwa kua na huduma nzuri lakini saizi ni tofauti kabisa spidi yao ya intanet imepungua sana afu wanakula Mb unaweza sema simu imetoboka znavujia chini mwanzo Mb 600 nilikua...
12 Reactions
69 Replies
6K Views
Wana jamii forum wanzangu habarini za saizi Kama swali swali linavyo jieleza hapo juu nimekua nkijiuliza sama maswali mengi kuhusiana na lulu. Ili kupata jibu nikajaribu kuuliza watu wengi tena...
1 Reactions
14 Replies
14K Views
Poleni na majukumu.Wakuu naamini na inapendeza zaidi kuombeana sisi kwa sisi muda na wakati wowote ili wenzako wafanikiwe na wakifanikiwa wao Mungu hufungua milango ya baraka na kwako...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ulikuwa kaka, Rafiki, patner, kiongozi na yote Tarehe Ya jana 04th October 2017 ulivuta pumzi yako ya mwisho hapa duniani. Tuanakukumbuka kwa misimamo yako isiyoyumba bila kujitakia umaarufu...
11 Reactions
163 Replies
16K Views
Wakuu kuna kahela hapa nataka ongeza wigo kdogo,nmepitapita yard kadhaa naona ndinga bei inaridhisha,ila bado naombea ishuke zaid,nimekuta spacio model mpya inaenda had 10.5m,yard nying...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wandugu, poleni na maangaiko ya maisha na shughuri nyingi za mwisho wa juma. Tupo katika kipindi chenye changamoto nyingi sana, watu wenye hekima wanapungua sana, ambao kama wangekuwepo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama mnavyojua Mh rais aliwaaidi watumishi nchini kuwa kuanzia mwezi November zaidi ya watumishi 59,000 watapandishwa vyeo ikiwa ni pamoja na annual increment. Nawasihi watumishi wote nchini kaa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kumekuwepo na dhana kuwa Almasi haivunjiki wala kupasuka, na hii ndo ilipelekea kuwepo msemo wa "Diamonds are Forever" Sasa Je ni kweli Almasi haiwezi kuharibiwa ?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
1. Ubinafsi. Sumu mojawapo kubwa katika biashara na mafanikio kwa ujumla ni ubinafsi. Haitakiwi kuwa mbinafsi unapokuwa kwenye biashara, inatakiwa kutoa ushirikiano na kwa wengine ili mafanikio...
4 Reactions
10 Replies
6K Views
Katika hali isiyo ya kawaida huyu dogo alikuwa anaoga kwenye karai la maji ambalo limebandikwa jikoni likichemka. Mwishoni dogo katoka anapiga kelele mbaya.
0 Reactions
0 Replies
930 Views
Jamaa anamiliki kampuni kweli na iko Urussi na hiyo ndo website ya kampuni pamoja na paspoti yake
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wahadhiri wa Chuo kikuu cha Mtakatifu Augustine tawi la Mtwara hawajalipwa mishahara yao kwa muda wa miezi minne sasa kwa kile kinachoelezwa mmiliki hana fedha kwa sasa.
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Wanazuoni wameshauri kubadilishwa kwa mfumo wa elimu ulio hivi sasa ili kuendana na sera ya Tanzania ya viwanda kwa kuwajengea uwezo zaidi wanafunzi walioko katika vyuo na shule mbalimbali hapa...
1 Reactions
0 Replies
665 Views
Wafanyabiashara wa soko la Manzese manispaa ya Morogoro wameandamana na kuvamia lililokuwa soko kuu la manispaa hiyo kushinikiza uongozi wa manispaa kuwafukuza baadhi ya wafanyabiashara...
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Back
Top Bottom