Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna huyo ofisa wa TRA Mwanza kama Tax Assessor anafahamika kama Hassan aache tabia hii ya kutulazimisha rushwa kwa vitisho na nyodo sie wafanyabiashara. Kijana anashindwa kuelewa ugumu wa...
5 Reactions
40 Replies
8K Views
wadau jana nlilazwa sababu ya malaria kali nipo hapa Sanitas Hotel. kama upo maeneo ya karibu sana mchana huu au jioni. ukija uwasiliane nami inbox kwanza tufahamiane. ntakuelekeza chumba...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mamlaka ya Vitambulisho vya taifa NIDA imeendelea na zoezi la usajili na utambuzi nchini ambalo linafanyika kwa awamu. Awamu ya kwanza imejumuisha mikoa 12 ikiwemo mkoa wa Njombe. Akizungumza...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Nawashukuru sana wizara ya Elimu Tanzania kwa jitihada zote wanazochukua ili kufanikisha elimu bora inapatikana kwa watanzania kwa garama nafuu(Elimu bila malipo kwa elimu ya awali mpaka...
0 Reactions
1 Replies
941 Views
Wadau Watanzania 3 wamekamatwa nchini Swaziland na Kilo 30 za madawa ya kulevya aina ya Heroin. Madawa hayo yalikuwa kwenye mifuko ya plastic ndani ya buti la gari na kisha kuwekewa pilipili...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna madaraja 3 ya watumishi wa umma Tanzania ambayo ni; 1.Wanaoishi kama malaika. Hawa ni pamoja na makatibu wakuu, wakurugenzi na watendaji wa taasisi mbalimbali, baadhi ya mameneja na...
7 Reactions
48 Replies
8K Views
Every time when I take a look at my crystal-ball, namuona Slow-Slow, kada mfia chama akihamia CHADEMA, na namuona akisema.........'kule CCM ni genge la wachumia tumbo. Watu wasiojali sauti za...
1 Reactions
0 Replies
731 Views
Dar es Salaam. Tanzania imechanua na kufanya vizuri katika viwango vilivyotolewa na mfuko wa Mo Ibrahim uliopima hali ya utawala bora na maendeleo na kuziacha kwa mbali baadhi ya nchi za Afrika...
0 Reactions
5 Replies
975 Views
MUHIMU: Tofauti zetu za kisiasa hazituondolei uhalali wa kushirikiana katika maswala muhimu ya kijamii yanayotuhusu. Kila mmoja wetu anapaswa kutambua kua umoja wetu, upendo wetu na amani ya nchi...
0 Reactions
0 Replies
588 Views
Baada ya kuona siku zinakaribia za kupiga Hela ndefu kwa wana Dar es Salaam kutokana na ushawishi wao mkubwa kwa wana Dar es Salaam hasa Vijana ilikuja kugundulika kwamba kutokana na uadui mkubwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukweli kuhusu Anguko la Uchumi wa Zimbabwe ya Robert Mugabe Uchumi wa Zimbabwe ulianguka baada ya serikali ya Mugabe kuwapoka ardhi wazungu ambao walirithi ardhi hiyo kutoka kwa babu zao...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
WanaJF huu ndio msimamo wangu kama Mtanzania mwenye mapenzi na nchi yangu. 1. Nitaitetea na kuilinda nchi yangu kwa gharama yoyote 2 Nitaunga mkono juhudi za Mh. Rais wetu Magufuli katika vita...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Waziri wa Afya sijui anajua hili la meli kuja maana naona yupo kimya kabisa. Meli ya Wachina, imekuja. Huduma zinatolewa na wanaotibiwa ni baadhi tu ya wagonjwa nchini. Wapo ambao watahitaji...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Mh Kinyafu mgombea udiwani IATA ya Saranga kumara amewekewa pingamizi na mgombea Wa Cuf kutokufanya mikutano ya kampeni mpaka tare ya uchaguzi,,madai ni kutangaza kwenye mikutano yake kuwa Cuf...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana jukwaa mimi sio Muanzishaji wa nyuzi mara kwa mara humu Jf kwa sababu zilizo ndani ya uwezo wangu. Ila leo nilikuwa nipo mitaa fulani katika chuo fulani nikakutana na Mtu mmoja ambae...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wadau Utafiti uliofanywa tokea Mhesh Rais Magufuli aingie madarakani umeonyesha kuwa % kubwa ya wanaopingana na juhudi zake wanavijitabia vifuatavyo:- 1. Wengi mafisadi 2. Waliozoea kutumia...
13 Reactions
57 Replies
5K Views
Dar es Salaam. Watanzania watatu wamekamatwa nchini Swaziland kwa tuhuma za kukutwa na kilogramu 30 za dawa za kulevya aina ya heroini zilizokuwa zinapelekwa Afrika Kusini. Kamishna mkuu wa...
1 Reactions
0 Replies
716 Views
Wakuu wa Jf, nimekuwa napata mkanganyiko nikisia baadhi ya Nchi Kama Tanzania Polisi kuitwa Jeshi ilihlali Kuna Jeshi la ulinzi wa wananchi wa Tanzania (Jwtz), wakati Nchi Kama za Kenya Polisi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau tukiangalia garama zilizotumika kujenga jengo la TANESCO.... Garama za kulibomoa jengo la TANESCO.... Garama za kuhamisha thamani zote toka kwenye jengo... Garama za kujenga jengo jingine...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau rejeeni kichwa cha habari hapo juu nimekuwa nikisafiri na mabasi haya ya Baraka nikitokea Dar kwenda Lindi na kutokea Lindi kwenda Dar. Anayo mabasi ya VIP na luxury za kawaida mm nimekuwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom